Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wairani zaidi ya elfu 80 wameelekea Makka kwa ajili ya ibada ya Hija

    Wairani zaidi ya elfu 80 wameelekea Makka kwa ajili ya ibada ya Hija

    Aug 14, 2018 04:50

    Afisa wa msafara wa ibada ya Hija wa Iran amesema kuwa hadi kufikia Jumatatu ya jana karibu Wairani elfu 80 walikuwa wameelekea katika miji mitakatifu ya Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.

  • Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Aug 12, 2018 10:18

    Waislamu nchini Canada wamefanya maandamano wakipinga siasa za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia za kuwazuia kwenda kutekeleza ibada ya Hija katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

  • Iran yalaani vikali mauaji ya makumi ya watoto wa shule Yemen, yasema ni jinai ya kivita

    Iran yalaani vikali mauaji ya makumi ya watoto wa shule Yemen, yasema ni jinai ya kivita

    Aug 09, 2018 11:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anelaani vikali jinai na mauaji yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika mkoa wa Saada na kusema kuwa kitendo hicho ni jinai ya kivita.

  • Amnesty International yakosoa kimya cha Wamagharibi kwa miamala mibaya ya Saudia kwa wapinzani

    Amnesty International yakosoa kimya cha Wamagharibi kwa miamala mibaya ya Saudia kwa wapinzani

    Aug 08, 2018 09:54

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limekosoa vikali kimya cha madola ya Magharibi kuhusiana na muamala mbaya wa serikali ya Saudi Arabia dhidi ya wapinzani na wanaharakati wa kiraia.

  • Saudia yasimamisha safari za ndege kwenda Canada na mabadilishano ya wanafunzi

    Saudia yasimamisha safari za ndege kwenda Canada na mabadilishano ya wanafunzi

    Aug 07, 2018 03:50

    Kufuatia hatua ya serikali ya Canada kuukosoa utawala wa Aal-Saudia kutokana na utawala huo kuzidisha kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu nchini humo, shirika la ndege la Saudia limetangaza kusimamisha safari zake kwenda au kutokka Canada.

  • Hizbullah: Saudia inakwamisha kuundwa serikali mpya nchini Lebanon

    Hizbullah: Saudia inakwamisha kuundwa serikali mpya nchini Lebanon

    Aug 05, 2018 20:50

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kitendo cha baadhi ya mirengo ya kisiasa inayochochewa na Saudi Arabia, cha kushikilia misimamo yao ya kupewa nafasi maalumu serikalini ndicho kinachokwamisha kuundwa serikali mpya nchini Lebanon.

  • UN Yasikitishwa na Hujuma ya Saudia dhidi ya Hospitali Yemen

    UN Yasikitishwa na Hujuma ya Saudia dhidi ya Hospitali Yemen

    Aug 04, 2018 03:42

    Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa amebainisha masikitiko yake kufuatia hatua ya muungano unaoongozwa na Saudia kushambulia hospitali na soko katika mji wa Al Hudaydah nchini Yemen.

  • EurAsian Times: NATO ya Kiarabu dhidi ya Iran, itaishia kushindwa

    EurAsian Times: NATO ya Kiarabu dhidi ya Iran, itaishia kushindwa

    Aug 03, 2018 02:57

    Gazeti la EurAsian Times limeandika kuwa, fedha za Saudia, silaha za Marekani na vyombo vya upelelezi vya Israel, vinaunda muungano dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kifupi 'NATO ya Kiarabu.'

  • Ripoti yafichua: Saudia na UAE zilipanga kuivamia kijeshi Qatar

    Ripoti yafichua: Saudia na UAE zilipanga kuivamia kijeshi Qatar

    Aug 02, 2018 03:36

    Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mwaka jana zilipanga kuishambulia na kuivamia kijeshi Qatar mwanzoni mwa mgogoro wa kidiplomasia uliosababisha kuwekewa mzingiro na vikwazo taifa hilo dogo la Ghuba ya Uajemi.

  • Utawala wa Saudia wawazuia mahujaji kuzuru makaburi ya watoto na maswahaba wa Mtume (saw), Madina

    Utawala wa Saudia wawazuia mahujaji kuzuru makaburi ya watoto na maswahaba wa Mtume (saw), Madina

    Jul 31, 2018 22:19

    Utawala wa Saudi Arabia umeweka vizuizi vinazyowazuia mahujaji waliokwenda kutekeleza ibada ya Hija kuzuru makaburi ya watoto, wajukuu, na masahaba wa Mtume Muhammad (saw) katika eneo la Baqii mjini Madina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS