-
Iraq yakaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudia
Apr 14, 2023 03:48Iraq imekaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudi Arabia, iliyotolewa mwishoni mwa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad mjini Riyadh siku ya Jumatano.
-
Ansarullah yaitaka UAE kuondoa wanajeshi wake Yemen baada ya uamuzi wa Saudi wa kusitisha vita
Apr 08, 2023 07:30Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unapaswa kuondoa wanajeshi wake kutoka Yemen baada ya Saudi Arabia kulifahamisha Baraza la Uongozi Yemen kuhusu uamuzi wa kuhitimisha vita vya miaka minane vilivyosababisha uharibifu mkubwa nchini humo.
-
Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zina nia ya kustawisha uhusiano wa pande mbili
Apr 06, 2023 09:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wana nia ya kustawisha na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Ripoti: Wanadiplomasia wakuu wa Iran na Saudia kukutana Beijing Alkhamisi
Apr 05, 2023 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Faisal bin Farhan Al Saud, wanatazamiwa kukutana katika mji mkuu wa China, Beijing kesho Alkhamisi.
-
Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina
Apr 05, 2023 03:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.
-
Hatua ya kwanza ya Saudi Arabia kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Apr 01, 2023 10:18Baraza la Mawaziri la Saudi Arabia limeidhinisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 03:39Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
Baada ya kupita miaka kumi, Saudia na Syria zinatarajia kufungua tena balozi zao
Mar 24, 2023 06:31Televisheni ya Saudi Arabia imemnukuu afisa mmoja katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo na kutangaza kuwa Riyadh imeanza mazungumzo na Syria ili kuanza tena kutoa huduma za kibalozi.
-
Algeria: Mapatano ya Iran na Saudi Arabia yataimarisha usalama katika eneo
Mar 21, 2023 06:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilitangaza Jumatatu usiku kwamba makubaliano yaliyotiwa saini kati ya Saudi Arabia na Iran yatasaidia kuimarisha usalama katika eneo na pia kutetea kadhia ya Palestina.
-
National Review: Makubaliano ya Iran-Saudia ni kikwazo kikubwa kwa sera za kigeni za Marekani
Mar 15, 2023 08:51Jarida la National Review limeandika kuwa: Makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia ambayo yalifikiwa kwa upatanishi wa China ni kushindwa kukubwa kwa malengo ya sera za nje za Marekani katika eneo la Mashariki mwa Asia.