-
Mabadiliko katika stratejia ya serikali ya uokozi wa kitaifa Yemen; kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Saudi Arabia
Jan 09, 2018 04:07Abdel-Aziz bin Habtour Waziri Mku wa Serikali ya Uokozi wa Kitaifa Yemen amekutana na Moein Shuraim naibu wa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na kutaka kuwepo mazungumzo ya moja kwa moja baina ya Harakati ya Answarullah na utawala vamizi wa Saudia.
-
HRW: Marekani, Uingereza na Ufaransa zisitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia
Jan 08, 2018 04:32Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch amezitaka Marekani, Uingereza na Ufaransa ziache kuiuzia silaha Saudi Arabia.
-
Hasira za wananchi Saudi Arabia baada ya utawala kuongeza ushuru na kupandisha bei ya petroli
Jan 07, 2018 10:16Wananchi wa Saudi Arabia ambao wananyimwa ruhusa ya kuandamana wamebainisha hasira zao katika mitandao ya kijamii baada ya utawala wa kifalme kupoandisha bei ya petroli na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
-
Macron: Vitisho vya US, Israel na Saudia dhidi ya Iran ni njia ya vita
Jan 04, 2018 04:23Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametaka kulindwa njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Saudi Arabia na Imarati zafadhili njama ya mapinduzi dhidi ya Mfalme wa Jordan
Jan 02, 2018 00:44Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimefichua njama iliyopangwa na wanawafalme watatu wa Jordan kwa ajili ya kumpindua Mfalme wa nchi hiyo kwa kusaidiwa na Saudi Arabia na Imarati.
-
Ndege za Saudia zaua raia 20 katika hujuma magharibi mwa Yemen
Dec 31, 2017 04:33Raia wasiopungua 20 wameuawa katika hujuma ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya makao ya raia katika mkoa wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua wanawake 10 magharibi mwa Yemen
Dec 30, 2017 10:50Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia shamba moja magharibi mwa Yemen na kuua wanawke wasiopungua 10 waliokuwa katika eneo hilo.
-
Wana wawili wa mfalme wa zamani wa Saudia waliotiwa mbaroni kwa ufisadi waachiliwa huru
Dec 30, 2017 04:11Baadhi ya duru zimetangaza habari ya kuachiliwa huru wana wawili wa mfalme wa zamani wa Saudi Arabia, Abdullah bin Abdul Aziz ambao walikuwa wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ufisadi.
-
Watu wasiopungua 15 wauawa katika mashambulizi ya anga ya Saudi huko Sana'a na katika miji mingine
Dec 25, 2017 11:17Televisheni ya al Masirah imetangaza kuwa watu wasiopungua 15 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali huko Yemen, ukiwemo mji mkuu Sana'a.
-
Jeshi la Yemen: Tumeangamiza vifaru na magari ya deraya 1,200 ya wavamizi
Dec 24, 2017 23:16Wizara ya Ulinzi ya Yemen imesema kuwa, katika kipindi hiki cha karibu miaka mitatu ya uvamizi, jeshi la nchi hiyo na vikosi vya kujitolea vya wananchi vimefanikiwa kuteketeza zaidi ya vifaru na magari ya deraya 1,200 pamoja na kutungua ndege tano za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.