Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Sudan: Hatutaitambua mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudia

    Sudan: Hatutaitambua mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudia

    Dec 21, 2017 12:47

    Sudan imewasilisha taarifa kwa Umoja wa Mataifa ikieleza kwamba endapo mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudi Arabia itapitishwa rasmi haitoitambua katu mipaka hiyo.

  • Baada ya kushindwa njama zao dhidi ya Qatar na Yemen, kundi la Saudia lamalizia hasira zake kwa Uturuki

    Baada ya kushindwa njama zao dhidi ya Qatar na Yemen, kundi la Saudia lamalizia hasira zake kwa Uturuki

    Dec 20, 2017 12:54

    Serikali ya Uturuki imekasirishwa sana na hatua ya waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyetuma ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter na kumtuhumu Rais Recep Tayyip Erdogan kuwa ni kutoka kizazi cha Waturuki waliofanya wizi mjini Madina na kukandamiza Waarabu wakati wa utawala wa Uthmaniyyah (Ottoman Empire).

  • Saudia yatangaza rasmi mpango wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Saudia yatangaza rasmi mpango wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Dec 16, 2017 22:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ametangaza rasmi kuwa utawala huo una mpango wa kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel huku Waislamu kote duniani wakiandamana dhidi ya utawala huo ambao unapanga kuufanya mji wa Quds kuwa mji wake mkuu.

  • Gazeti la Al Sharq lafichua: Saudi Arabia ni nchi iliyofisidika

    Gazeti la Al Sharq lafichua: Saudi Arabia ni nchi iliyofisidika

    Dec 16, 2017 04:37

    Nyaraka mpya zilizofichuliwa na gazeti la Al Sharq linalochapishwa nchini Qatar zinaonyesha kuwa uozo wa ufisadi umezagaa kwenye vyombo vya utawala nchini Saudi Arabia.

  • Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Dec 16, 2017 04:31

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa.

  • Jinai nyengine ya kinyama ya Saudia nchini Yemen; watu 115 wauawa na kujeruhiwa

    Jinai nyengine ya kinyama ya Saudia nchini Yemen; watu 115 wauawa na kujeruhiwa

    Dec 14, 2017 12:19

    Utawala vamizi wa Aal Saud umeua watu wasiopungua 35 na kujeruhi wengine 80 baada ya kufyatua makombora saba yaliyolenga kambi na jela moja ya kijeshi katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.

  • Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Dec 09, 2017 03:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitahadharisha Saudi Arabia juu ya matokeo mabaya ya vitendo vyake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Dec 04, 2017 03:30

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mazungumzo ni njia bora zaidi kwa makundi mbali mbali ya Yemen kutatua migogoro yao na kuzuia maadui wa kigeni kutumia vibaya mgogoro uliopo nchini humo.

  • Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Dec 01, 2017 01:11

    Jeshi la Yemen kwa ushirikiano na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah limefyatua kombora jengine la balisitiki la masafa ya kati na kulenga eneo la kijeshi ndani ya ardhi ya Saudia, likiwa ni kombora la pili kufyatuliwa na jeshi hilo ndani ya mwezi huu.

  • Zarif: Iran iko Syria kwa

    Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus

    Dec 01, 2017 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS