-
Qassemi: Taarifa ya White House inathibitisha ushiriki wa Marekani katika jinai za Saudia
Nov 26, 2017 04:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) inathibitisha waziwazi kwamba Marekani inashirika katika jinai zinazofanywa na Saudi Arabia huko Yemen.
-
Foreign Policy: White House inapotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai za Saudia huko Yemen
Nov 23, 2017 10:56Jarida la Foreign Policy linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Ikulu ya Rais wa nchi hiyo, White House inafanya jitihada za kutengeneza mazingira na propaganda mpya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazofanywa na Saudi Arabia huko Yemen.
-
Saudia inatumia mamluki wa Marekani kuwatesa wanawafalme wanaozuiliwa
Nov 23, 2017 10:54Inaarifiwa kuwa, utawala wa Riyadh umekuwa ukiwatumia mamluki waliowakodisha kutoka Marekani katika kuwatesa na kuwakandamiza wanawafalme na wajasiriamali mabilionea wa Saudi Arabia waliokamatwa hivi karibuni katika kile kilichotajwa kuwa wimbi la vita dhidi ya ufisadi.
-
Mgogoro baina ya Qatar na nchi za Kiarabu umezidi kupamba moto
Nov 23, 2017 03:49Kwa mara nyingine tena nchi za Saudia, Imarati, Misri na Bahrain zimetoa tuhuma kali dhidi ya Qatar kwa kudai kuwa inaunga mkono ugaidi. Jana usiku nchi hizo ziliongeza katika orodha yao ya makundi ya kigaidi taasisi mbili na watu 11 ambao zinadai wanafanya ugaidi kwa uungaji mkono wa Qatar.
-
Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun
Nov 22, 2017 23:56Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon amesimamisha kwa muda ombi lake la kutaka kujiuzulu wadhifa wake huo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun mjini Beirut.
-
Qatar: Saudia inafanya ukandamizaji ndani ya nchi na uchochezi nje ya nchi
Nov 21, 2017 10:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amekosoa vikali sera ya utawala wa Aal-Saud ya kuwakandamiza wananchi wa Saudi Arabia na wakati huo huo kuzichochea nchi nyingine.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran: Saudi Arabia ni mhimili wa shari katika eneo
Nov 20, 2017 11:02Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ameitaja Saudi Arabia kuwa mhimili wa Shari na kusisitiza juu ya ulazima wa kusimama kidete mbele ya njama mbovu na za kifisadi za Marekani na waitifaki wake katika eneo hili la Mashariki ya Kati kwa kuwepo umoja na kushikamana zaidi watu wa eneo hili.
-
Mamilioni Yemen yamkini wakafariki kutokana na mzingiro uliowekwa na Saudia
Nov 20, 2017 10:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Dunaini, WFP, limeonya kuwa mamilioni ya watu wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya mauti kufuatia mzingiro uliowekwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na hivyo kuzuia misaada kuwafikia wanaohitajia.
-
Zarif: Ni maskhara kuona Saudi Arabia ikiituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko
Nov 19, 2017 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ni maskhara kwa Saudia Arabia kuituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko katika hali ambayo nchi hiyo ndiyo inayowachochea magaidi na iliyoanzisha vita huko Yemen.
-
Tume ya Kimataifa yapinga madai ya Saudia kuhusu mzingiro wa Yemen
Nov 19, 2017 23:18Tume ya kimataifa iliyoundwa na Umoja wa Mataifa imefichua kwamba Saudi Arabia inazuia kwa makusudi misaada ya kibinadamu inayotumwa kwa watu wanaozongwa na maradhi na njaa huko Yemen na kutangaza kuwa, tume hiyo haikubali sababu zilizotolewa na utawala wa Riyadh za kuendelea kuizingira nchi hiyo.