-
Qatar: Uhusiano wetu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa "kipekee"
Nov 19, 2017 00:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ameutaja uhusiano uliopo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa wa "kipekee".
-
Iran: Sumu hatari ya Uwahabi na Utakfiri ilizaliwa Saudi Arabia
Nov 18, 2017 04:22Mshauri na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Saudi Arabia ndio chimbuko na sehemu ilikozaliwa idiolojia hatari ya Utakfiri inayotumiwa na magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS).
-
Qatar: Saudia inayakandamiza 'mataifa madogo' kwa lengo la kuyapigisha magoti
Nov 18, 2017 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema utawala wa Saudi Arabia unachochea migogoro na mivutano katika eneo la Mashariki ya Kati sambamba na kuzikandamiza na kuzinyanyasa nchi ndogo katika eneo ili kuzishinikiza zipige magoti mbele yake.
-
Zarif: Saudia inachukua hatua za kijinga na kihasama
Nov 17, 2017 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wasaudia wanapuuza uhakika na hali halisi ya kihistoria na kuchukua hatua za kihasama na kijinga ambazo zinaendelea kuwasababishia madhara wao wenyewe.
-
Kashani: Umoja wa Walebanon umebatilisha njama za Saudia
Nov 17, 2017 13:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa umoja na mshikamano wa taifa la Lebanon umebatilisha na kuzima njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na Saudi Arabia.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi kuanza Novemba 27
Nov 17, 2017 03:41Duru mpya ya mazungumzo kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Burundi inatazamiwa kuanza tena Novemba 27 hadi Disemba 8, mwaka huu.
-
Vyombo vya habari vya Magharibi vyanyamazia kimya jinai za Saudia dhidi ya Wayemen
Nov 16, 2017 01:06Wabunge nchini Iran wamelaani vikali mauaji yanayotekelezwa na Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen huku wakisema jinai hizo zimenyamaziwa kimya na vyombo vya habari vya magharibi.
-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen
Nov 15, 2017 03:45Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya uwanja wa ndege ulioko katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a, na kufanya hali ya mambo katika nchi hiyo kuwa mbaya zaidi.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zinataka kuiburuza Marekani kwenye vita dhidi ya Iran
Nov 14, 2017 13:18Mtaalamu wa zamani wa kitengo cha kupambana na ugaidi aliyekuwa pia afisa wa intelijinsia ya kijeshi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia hazina uwezo wa kuishinda kijeshi Iran hivyo zinajaribu kuiburuza Marekani kwenye vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel
Nov 14, 2017 12:22Gazeti la Times la Uingereza limefichua kuwa, katika jitihada mpya za kutaka kubadili ramani ya kisiasa ya Mashariki ya Kati kwa maslahi ya Marekani na Israel, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anamshinikiza Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas ili akubaliane na mpango mpya wa eti amani ya Mashariki ya Kati uliobuniwa na timu ya Rais Donald Trump wa Marekani.