Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Makumi ya Wanamfalme, mawaziri wa zamani na wa sasa wa Saudia wawekwa kizuizini

    Makumi ya Wanamfalme, mawaziri wa zamani na wa sasa wa Saudia wawekwa kizuizini

    Nov 05, 2017 04:36

    Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umewatia nguvuni na kuwaweka kizuizini makumi ya Wanamfalme na mawaziri wa zamani na wa sasa wa utawala huo kwa kisingizio cha kupambana na ufisadi.

  • Ndege za kivita za Saudia zaendelea kuua raia nchini Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zaendelea kuua raia nchini Yemen

    Nov 03, 2017 23:11

    Raia wasipungua saba Wayemen wamepoteza maisha yao baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kuvurumisha mabomu katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mashariki mwa nchi hiyo siku chache tu baada ya jinai sawa na hiyo.

  • Aalimu wa Kisuni: Njama chafu za Saudia na Israel dhidi ya Hizbullah zimegonga mwamba

    Aalimu wa Kisuni: Njama chafu za Saudia na Israel dhidi ya Hizbullah zimegonga mwamba

    Nov 03, 2017 01:11

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama amesema kuwa, njama chafu na mipango ya utawala wa Aal-Saud kwa kushirikiana na Israel na washirika wake wa Magharibi ya kujaribu kuihusisha na ugaidi Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, imegonga mwamba na kufeli.

  • Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya

    Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya

    Nov 02, 2017 13:50

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu 'Kataib Hizbullah' nchini Iraq sambamba na kutangaza kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh lilikuwa na mpango wa uharibifu kupitia ajenda za Marekani, Israel na fedha za baadhi ya nchi za Kiarabu, imesema kuwa baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi hilo Iraq inatakiwa kujiweka tayari kwa ajili ya njama mpya za Washington na washirika wake.

  • Hali ya kibinadamu Yemen inashtua, Saudia yaendeleza hujuma

    Hali ya kibinadamu Yemen inashtua, Saudia yaendeleza hujuma

    Oct 28, 2017 12:02

    Mkuu wa misaada ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa amesema hali ya kibinadamu nchini Yemen ni ya kushtua huku Saudi Arabia ikiendeleza hujuma dhidi ya nchi hiyo.

  • Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Oct 27, 2017 12:00

    Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.

  • Saudia yakasirishwa na ripoti ya UN kwamba inakiuka haki za binaadamu

    Saudia yakasirishwa na ripoti ya UN kwamba inakiuka haki za binaadamu

    Oct 24, 2017 10:16

    Saudia imekasirishwa sana na ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kwamba imehusika na jinai za kivita dhidi ya watoto wadogo nchini Yemen.

  • Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Oct 20, 2017 01:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex W. Tillerson amekiri wazi kwamba nchi zinazoshiriki katika kuizingira na kuiwekea vikwazo Qatar, ndio wahusika wa kuendelea mgogoro wa taifa hilo dogo la Kiarabu.

  • ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    Oct 14, 2017 04:38

    Jumuiya ya Demokrasia na Haki za Binadamu ya Bahrain (ADHRB) imetangaza kuwa, hukumu za vifo dhidi ya wapinzani zimeongezeka sana katika nchi tatu za Saudi Arabia, Bahrain na Kuwait.

  • Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen

    Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen

    Oct 07, 2017 23:11

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeulaani Umoja wa Mataifa kwa kujaribu kudunisha jinai za muungano wa Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS