Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Yemen: Madai ya Marekani kuwa Iran imehusika katika shambulizi la Riyadh ni kichekesho

    Yemen: Madai ya Marekani kuwa Iran imehusika katika shambulizi la Riyadh ni kichekesho

    Nov 11, 2017 12:18

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilihusika katika shambulizi la kombora la Burkan 2 kutoka Yemen kwenda Riyadh na imeyataja madai hayo kuwa ni kichekesho.

  • Hitilafu za kimitazamo kati ya Trump na Tillerson kuhusu matukio ya Saudia

    Hitilafu za kimitazamo kati ya Trump na Tillerson kuhusu matukio ya Saudia

    Nov 11, 2017 08:22

    Matukio yanayojiri nchini Saudi Arabia kwa mara nyingine tena yameweka wazi hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo.

  • UNICEF: Mzingiro wa Saudia utaua maelfu ya watoto Wayemen wenye njaa

    UNICEF: Mzingiro wa Saudia utaua maelfu ya watoto Wayemen wenye njaa

    Nov 10, 2017 11:38

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto UNICEF limeonya kuhusu madhara makubwa ya mzingiro wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen na kusema idadi kubwa ya watoto Wayemen wanaweza kupoteza maisha kwani tayari wanakabiliwa na lishe duni.

  • Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Nov 10, 2017 11:33

    Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia aingilia masuala ya ndani ya Lebanon

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia aingilia masuala ya ndani ya Lebanon

    Nov 10, 2017 04:48

    Ikiwa imepita karibu wiki moja baada ya Saad Hariri kujiuzulu nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameibuka na kudai kuwa Riyadh haitoruhusu Lebanon iwe chanzo cha kusumbuliwa Saudi Arabia.

  • UN: Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani

    UN: Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani

    Nov 09, 2017 23:46

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Saudi Arabia na washirika wake ya kufunga kabisa mipaka ya Yemen kwa siku ya tano mfululizo na kusisitiza kuwa Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani katika miongo ya hivi karibuni.

  • Wanawafalme waendelea kukamatwa Saudia, mgogoro watokota, masoko ya hisa yaporomoka

    Wanawafalme waendelea kukamatwa Saudia, mgogoro watokota, masoko ya hisa yaporomoka

    Nov 09, 2017 00:31

    Wimbi jipya la kuwakamata wanawafalme limeripotiwa nchini Saudi Arabia ambapo wanawafalme wanaofungamana na Mohammad bin Nayef, mritihi wa kitu cha ufalme aliyeuzuliwa nao wametiwa mbaroni huku mgogoro mkubwa ukitokota katika ukoo wa Aal Saud.

  • Barua ya Iran kwa UN ikisisitizia udharura wa Saudia kuzuiwa katika jinai zake

    Barua ya Iran kwa UN ikisisitizia udharura wa Saudia kuzuiwa katika jinai zake

    Nov 09, 2017 00:20

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo akiitaka Jamii ya Kimataifa iishinikize Saudi Arabia iheshimu sheria za kimataifa na kuacha kutoa vitisho vya kutumia mabavu dhidi ya nchi nyengine.

  • Mwanamfalme: Haki za binadamu zinakanyagwa sana Saudia

    Mwanamfalme: Haki za binadamu zinakanyagwa sana Saudia

    Nov 08, 2017 11:53

    Khalid bin Farhan Al Saud, Mwanamfalme ambaye amejitenga na utawala wa Aal-Saud, amesema kuwa kabla ya kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Ujerumani, kwa muda mrefu alikuwa akiishi kwa wasiwasi na mashaka mengi nchini Saudia.

  • Israel: Helikopta iliyoua mwanamfalme ilishambuliwa na ndege za kivita za Saudia

    Israel: Helikopta iliyoua mwanamfalme ilishambuliwa na ndege za kivita za Saudia

    Nov 07, 2017 23:24

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni vimefichua kuwa, ndege za kivita za Saudi Arabia ndizo zilizohusika katika kuanguka helikopta iliyokuwa imembeba mwanamfalme wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS