Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Maandamano Sana'a kulaani vita vya Saudia dhidi ya Yemen

    Maandamano Sana'a kulaani vita vya Saudia dhidi ya Yemen

    Mar 26, 2017 10:27

    Mamilioni ya wananchi wa Yemen wameandamana leo katika mji mkuu Sana'a na maeneo mengine nchini humo katika mwanzo wa mwaka wa tatu tokea Saudia ianzishe vita vyake vya kinyama dhidi ya nchi hiyo ambavyo vimesababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kupoteza makazi yao.

  • Ufaransa inaiuzia Saudia silaha za kuwaulia raia waliodhulumiwa wa Yemen

    Ufaransa inaiuzia Saudia silaha za kuwaulia raia waliodhulumiwa wa Yemen

    Mar 21, 2017 11:31

    Rais wa Ufaransa ametoa kibali cha kuuzia silaha utawala wa Aal Saud na hivyo kuuchochea waziwazi utawala huo kuendelea kuwauwa wananchi wa wasio na ulinzi na waliodhulumika wa Yemen.

  • Familia za wahanga wa Septemba 11, zafungua mashtaka dhidi ya Saudi Arabia

    Familia za wahanga wa Septemba 11, zafungua mashtaka dhidi ya Saudi Arabia

    Mar 21, 2017 10:01

    Familia za wahanga waliopoteza maisha katika mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani wamefungua mashtaka dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.

  • Jeshi la Yemen: Sasa Saudia ijiandae kwa operesheni mpya ndani ya nchi hiyo

    Jeshi la Yemen: Sasa Saudia ijiandae kwa operesheni mpya ndani ya nchi hiyo

    Mar 21, 2017 04:18

    Naibu Msemaji wa Jeshi la Yemen, ameionya Saudi Arabia kwamba, ikiwa itaendelea kushambulia bandari za Yemen, basi jeshi la nchi hiyo na harakati ya wananchi ya Answarullah, zitafanya operesheni ndani ya ardhi ya Saudia.

  • Waziri Mkuu wa Somalia: Saudia, mhusika wa mauaji ya wakimbizi wa Kisomali

    Waziri Mkuu wa Somalia: Saudia, mhusika wa mauaji ya wakimbizi wa Kisomali

    Mar 20, 2017 11:38

    Serikali ya Somalia imesema kuwa utawala wa Saudi Arabia ndio uliohusika na mauaji ya wakimbizi wa nchi hiyo katika maji ya Yemen.

  • Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Mar 20, 2017 04:31

    Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Yemen umeutaka Umoja wa Mataifa uchukue udhibiti wa bandari ya Hudaydah baada ya helikopta ya Aal-Saud aina ya Apache kufanya shambulio la kikatili dhidi ya boti ya wakimbizi karibu na Lango Bahari la Bab al-Mandab, pwani ya Yemen na kuua makumi ya raia wa Somalia.

  • Uchunguzi: Nusu ya Waingereza hawajui kama Saudia imeanzisha vita dhidi ya Yemen

    Uchunguzi: Nusu ya Waingereza hawajui kama Saudia imeanzisha vita dhidi ya Yemen

    Mar 18, 2017 12:32

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya raia wa Uingereza hawana habari kuhusu vita angamizi vilivyoanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen pamoja na kwamba serikali yao ni mmoja wa wauzaji wakuu za silaha zinazotumiwa na utawala wa Aal Saud katika vita hivyo.

  • Radiamali ya Iran kwa madai ya 'kipuuzi' ya Mwana Mfalme wa Saudia alipokutana na Trump

    Radiamali ya Iran kwa madai ya 'kipuuzi' ya Mwana Mfalme wa Saudia alipokutana na Trump

    Mar 18, 2017 04:04

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Riyadh na kuyataja kama ya kipuuzi na yasiyokuwa na msingi matamshi dhidi ya Tehran yaliyotolewa na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House hivi karibuni.

  • UN, IOM zalaani mauaji ya wakimbizi 42 wa Kisomali, pwani ya Yemen

    UN, IOM zalaani mauaji ya wakimbizi 42 wa Kisomali, pwani ya Yemen

    Mar 18, 2017 03:44

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limekosoa vikali shambulio lililoua makumi ya wakimbizi raia wa Somalia katika pwani ya Yemen usiku wa kuamkia jana.

  • Wairani kufanya ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudia kukubali masharti ya Tehran

    Wairani kufanya ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudia kukubali masharti ya Tehran

    Mar 17, 2017 23:20

    Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya ibada ya Hija baada ya maafisa wa seriakali ya Saudi Arabia kukubali masharti ya kudhamini mahitaji ya mahujaji wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS