-
Amnesty yaitaka US ikome kuziuzia silaha Saudia na Bahrain
Mar 16, 2017 11:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Marekani iache kuziuzia silaha serikali za Saudi Arabia na Bahrain kutokana na nchi hizo kutumia silaha hizo kuvunja haki za raia.
-
Wayemen wataka kuundwe kamati ya kuchunguza jinai za Saudia nchini mwao
Mar 16, 2017 00:28Serikali ya Yemen imetaka kuundwe kamati huru ya kimataifa ya kuchunguza jinai za Saudi Arabia nchini humo.
-
Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia
Mar 15, 2017 03:29Wanawake wa Yemen wamefanya maandamano na kukita kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Sana’a, kuutaka umoja huo usitishe jinai na uvamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Yemen yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu jinai za Saudia
Mar 14, 2017 01:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kusimamisha jinai, vita na mzingiro uliowekwa dhidi ya nchi hiyo.
-
Wapinzani Maldives wapinga Saudia kuuziwa visiwa
Mar 11, 2017 10:54Vyama vya upinzani nchini Maldives vimepinga safari ya mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudia nchini humo baada ya kuvuja ripoti kuwa anataka kununua sehemu kubwa ya visiwa vya nchi hiyo ndogo ya kusini mwa Asia.
-
Jeshi la Yemen lalipiza kisasi, laua wanajeshi na mamluki 12 wa Saudia
Mar 10, 2017 10:39Jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vimeshambulia kituo cha kijeshi cha Aal-Saud katika mkoa wa Najran, kusini mwa Saudi Arabia na kuua wanajeshi na mamluki 12 wa utawala huo wa kifalme.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya Wasaudia
Mar 09, 2017 04:30Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limeshambulia kwa kombora la balestiki, eneo la mkusanyiko la askari vibaraka wa Saudia katika mji wa al-Makha katika mkoa wa Taiz nchini humo.
-
Malaysia yawatia mbaroni watuhumiwa wa njama ya kumuua Mfalme Salman wa Saudia
Mar 07, 2017 12:07Serikali ya Malyasia imedai kuwa, ilizima njama ya jaribio la kutaka kumuua Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia aliyeko katika safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za mashariki mwa Asia.
-
Mfalme wa Saudia asitisha safari yake Lebanon kwa kuumizwa na mahusiano ya Rais Aoun na Hizbullah
Mar 07, 2017 01:12Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa nchini Saudia, amesitisha safari yake nchini Lebanon kutokana na misimamo chanya ya Rais Michel Aoun wa nchi hiyo katika kuunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah.
-
Wananchi wa Yemen waandamana tena dhidi ya Saudia
Mar 04, 2017 04:03Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamejitokeza mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani uvamizi na hujuma za kijeshi za utawala wa Saudi Arabia.