Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Aug 19, 2021 11:12

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa Siku ya Ashura na kusema, 'kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu)"

  • Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Aug 14, 2021 03:14

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.

  • Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Aug 08, 2021 06:09

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari

    Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari

    Jul 07, 2021 06:40

    Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Jumatatu alitoa hotuba akiashiria hatua ya Marekani kuteka na kufunga tovuti za habari zinazofungamana na harakati za muqawama au mapamabano ya Kiislamu ambapo ametoa sababu kadha za uhasama huo wa Marekani.

  • Nasrullah: Kuteka tovuti za muqawama kumefichua unafiki wa Marekani

    Nasrullah: Kuteka tovuti za muqawama kumefichua unafiki wa Marekani

    Jun 26, 2021 08:05

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha Marekani cha kuteka na kufunga tovuti kadhaa za vyombo vya habari vya kambi ya muqawama kimedhihirisha unafiki wa Marekani inayodai kuwa mtetezi mkubwa wa demokrasia na uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari.

  • Sayyid Nasrullah: Bila shaka sote tutaswali katika Msikiti wa al-Aqsa

    Sayyid Nasrullah: Bila shaka sote tutaswali katika Msikiti wa al-Aqsa

    Jun 09, 2021 03:47

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hakuna chembe ya shaka kuwa Waislamu wote karibuni hivi wataibuka washindi mkabala wa Wazayuni na waitifaki wao, na hatimaye watatekeleza ibada ya Swala katika Msikiti mtukufu wa al-Aqsa, huko Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.

  • Sheikh Naim Qassim: Hali ya kiafya ya Sayyid Hassan Nasrullah ni nzuri

    Sheikh Naim Qassim: Hali ya kiafya ya Sayyid Hassan Nasrullah ni nzuri

    May 28, 2021 22:28

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hali jumla ya kiafya ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Hassan Nasrullah ni nzuri.

  • Vita vya Yemen kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Vita vya Yemen kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Apr 02, 2021 06:07

    Katika sehemu ya hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Sheikh al-Qadhi Ahmad az-Zain hapo siku ya Jumatano, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon aliashiria kadhia ya vita vya Yemen.

  • Hizbullah ya Lebanon yamshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Hizbullah ya Lebanon yamshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Mar 06, 2021 09:10

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akimshukuru kwa kuwa kwake muda wote na wananchi wa Lebanon na kwa hatua yake ya kutoa mkono wa pole kufuatia kufariki dunia Sheikh Ahmad al Zin, mwanachuoni mkubwa wa wa Kisuni wa Lebanon.

  • Nasrallah: Wamarekani wamefahamu hatari ya Trump, yeye ni mfano halisi wa uistikbari

    Nasrallah: Wamarekani wamefahamu hatari ya Trump, yeye ni mfano halisi wa uistikbari

    Jan 08, 2021 23:26

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio ya hivi karibuni katika Bunge la Congress nchini Marekani yamepelekea Wamarekani wafahamu hatari ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump. Aidha amesema matukio hayo ni mfano halisi na wa wazi wa ubeberu na uistikbari wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS