-
Israel yatishia kumuua Katibu Mkuu wa Hizbullah
Mar 24, 2016 03:35Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametishia kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Vita vijavyo vitaigharimu mno Israel
Mar 21, 2016 23:07Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema vita vyovyote itakavyoanzisha Israel dhidi ya Lebanon mnamo siku zijazo ni chokochoko ambayo itaugharimu na kuutia hasara kubwa utawala huo haramu wa Kizayuni.
-
Al Arabiya yamtimua aliyerusha filamu kuhusu Nasrullah
Feb 23, 2016 22:16Mkurugenzi wa Kanali ya Televisheni ya Kiarabu ya Al Arabiya amefutwa kazi kwa kutangaza filamu ya matukio ya kweli ambayo ilionekana kumuunga mkono kiongozi wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Nasrallah: Israel, Saudia zimefeli katika malengo yao Syria
Feb 17, 2016 03:30Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama za Saudia, Israel na Uturuki zimefeli na kugonga mwamba Syria.