Pars Today
Rais William Ruto wa Kenya amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliowateua kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri.
Wananchi wa Algeria wamehimizwa kuipigia kura ya ndio katiba mpya katika zoezi la kura ya maoni lililopangwa kufanyika Novemba Mosi mwaka huu. Serikali imeitaja kura hiyo ya maoni kuwa msingi wa nchi mpya.
Serikali ya Misri imepngeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini na kusema kuwa ina matumaini hatua hiyo itatoa fursa ya kushuhudiwa utulivu na usalama wa kudumu nchini humo.
Harakati ya Uhuru na Mabadiliko nchini Sudan imewasilisha orodha ya majina ya wagombea wake wa nafasi za uwaziri katika serikali ya mpito ya nchi hiyo.