-
Wapalestina wasiopungua 94 wameuawa shahidi Gaza katika saa 24; 180 waaga dunia kwa njaa
Aug 04, 2025 10:40Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Wapalestina wengine wasiopungua 23 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina 127 wameshakufa shahidi kutokana na njaa na lisheduni katika Ukanda wa Ghaza
Jul 27, 2025 11:08Maafisa wa utoaji misaada katika Ukanda wa Ghaza wametangaza leo kuwa watu 127 wamekufa shahidi kwa utapiamlo na njaa kutokana na mzingiro mkubwa lililowekewa eneo hilo na utawala wa kizayuni na hatua ya utawala huo ghasibu ya kuzuia uingizaji misaada ya kibinadamu.
-
NGO: Israel inashikilia miili ya Wapalestina 198 waliouawa mwaka 2024
Jan 01, 2025 13:02Kampeni ya Kitaifa ya Kurejesha Miili ya Mashahidi (The National Campaign to Retrieve Martyrs' Bodies) imeeleza kuwa viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wanashikilia miiili ya mashahidi wa Kipalestina 198 walisajiliwa mwaka jana wa 2024.
-
Kamanda Qaani: Tutakuwa bega kwa bega na Hizbullah hadi Quds na Palestina zitakapokombolewa
Sep 30, 2024 03:30Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Iran itakuwa bega kwa bega na harakati ya Muqawama ya Lebanon ya Hizbullah hadi ukombozi wa Palestina na Quds Tukufu.
-
Maafisa wa jeshi la Syria washiriki katika hitma ya shahidi Brigedia Jenerali Razi Mousavi
Dec 26, 2023 11:59Maafisa wa kijeshi na wa jeshi la Syria leo Jumanne wameshiriki katika hitma ya shahidi Brigedia Jenerali Sayyid Razi Mousavi katika ubalozi wa Iran huko Damascus, Syria.
-
Idadi ya waliouawa katika mripuko uliotokea jana Kunduz Afghanistan yafikia watu 33
Apr 23, 2022 07:26Idadi ya watu waliouawa shahidi katika shambulio la kigaidi lililotokea jana kwenye Msikiti mmoja wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan wamefikia Waislamu 33.
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 17, 2020 02:43Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 17, 2020 01:16Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani wawasili Iran ya Kiislamu
Jan 05, 2020 05:06Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.
-
Israel imeua shahidi Wapalestina 324 na kuwajeruhi wengine 18,000 katika maandamano ya 'Kurejea'
Sep 08, 2019 02:36Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina 324 na kuwajeruhi wengine 18,000 katika maandamano ya amani ya 'Haki ya Kurejea' ambayo hufanyika kila Ijumaa katika Ukanda wa Ghaza.