-
Jinai za Saudi Arabia kuanzia mauaji ya Sheikh Nimr hadi ukatili mkubwa dhidi ya Khashoggi
Jan 02, 2019 12:51Katika siku kama hii ya leo ya Januari Pili mwaka 2016 utawala wa Saudi Arabia ulimuua shahidi Sheikh Nimr Baqri al Nimr, mwanazuoni wa Kiislamu na mwanamapambano wa kutetea haki wa Saudi Arabia kwa sababu tu ya kuukosoa utawala wa kifalme wa nchi hiyo.
-
Amnesty: Saudia inatumia hukumu ya kifo kama wenzo wa kuwakandamiza Waislamu wa Shia
Nov 08, 2018 09:01Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu hukumu ya kifo iliyopangwa kutekeleza na Saudi Arabia dhidi ya Waislamu 12 wa madhehebu ya Shia nchini humo na kusema kuwa, utawala wa kifalme wa Saudia unatumia adhabu ya kifo kama wenzo wa kukandamiza Waislamu wa madhehebu hiyo.
-
Kampeni ya "Nimr Hatasahaulika", yaanza katika mitandao ya kijamii Saudi Arabia
Aug 24, 2017 07:33Wanaharakati wa Saudi Arabia wameanzisha kampeni iliyopewa jina la "Nimr Hatasahaulika" katika harakati ya kumkumbuka na kumtetea mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Sheikh Nimr Baqir al Nimr aliyeuawa na utawala wa kifalme wa Saudia mwaka jana wa 2016. Wanaharakati hao pia wamewataka wanaharakati wenzao kuunga mkono kampeni hiyo.
-
Bunge la Iran latoa tamko kwa mnasaba wa mwaka mmoja wa kuuawa shahidi Sheikh Nimr
Jan 03, 2017 14:35Kwa mara nyingine wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (yaani bunge) wamelaani vikali adhabu ya kifo dhidi ya Sheikh Nimr Baqir an-Nimri, msomi wa kidini na mwanamapambano wa Saudia iliyotolewa na utawala wa kifalme wa nchi hiyo mwaka mmoja uliopita.
-
Amnesty: Huenda Saudia ikamnyonga mpwa wa Sheikh Nimr kesho!
Mar 12, 2016 15:25Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeelezea hofu yake kuwa yumkini utawala wa Saudi Arabia hapo kesho ukamnyonga Ali Nimr, mpwa wa Shahidi Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni mkuu na maarufu wa Kiislamu aliyenyongwa na watawala wa Aal-Saud mapema mwaka huu.
-
Arubaini ya Sheikh Nimr yaadhimishwa kwa maandamano
Feb 12, 2016 08:16Arubaini ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni wa Kiislamu aliyeuawa shahidi na utawala wa Aal-Saud imeadhimishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini Saudi Arabia na Bahrain.