-
WHO: Malaria itaangamizwa kabisa Afrika hadi mwaka 2020
Apr 25, 2016 10:36Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano ugonjwa wa malaria utaangamizwa kabisa ifikapo mwaka 2020.
-
Makumi waaga dunia kutokana na homa ya manjano DRC
Apr 13, 2016 02:38Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.
-
Tahadhari ya WHO kuhusu mgogoro wa maji duniani
Mar 19, 2016 23:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti kuhusu mgogoro wa maji na hatari ya kuchafuliwa kwa maji kote duniani.
-
WHO: Mripuko wa Zika utapanuka zaidi
Feb 25, 2016 04:34Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, virusi vya Zika huenda vikasambaa zaidi katika siku za usoni kabla ya ugonjwa huo kupatiwa tiba na kudhibitiwa.