-
Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu
Nov 15, 2017 04:43Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, ni suala lisilowezekana kuachana na uwezo wa silaha zake za nyuklia uliopatikana kwa tabu, kwa sababu tu ya mashinikizo na vikwazo dhidi yake.
-
Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake
Oct 09, 2017 15:00Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya kuvuka mabara.
-
Trump: Marekani inapaswa kuwa mbele katika uwanja wa silaha za nyuklia
Feb 24, 2017 04:51Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayogongana akitoa wito wa kuzuiwa uenezaji wa silaha za nyuklia na wakati huo huo akisisitiza kuwa, Washington daima inapaswa kuwa na maghala makubwa zaidi ya silaha za nyuklia kuliko nchi nyingine zote duniani.