Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni

    UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni

    Apr 13, 2022 03:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.

  • UN: Somalia iko hatarini kukumbwa na njaa

    UN: Somalia iko hatarini kukumbwa na njaa

    Apr 09, 2022 07:46

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Somalia kwa sasa iko katika hatari ya kukumbwa na njaa kutokana na ukame, bei ya juu ya vyakula na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.

  • Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug

    Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug

    Apr 04, 2022 06:53

    Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Somalia yakaribisha kuundwa kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika

    Somalia yakaribisha kuundwa kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika

    Apr 01, 2022 22:06

    Serikali ya Federali ya Somalia imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukipangua Kikosi cha Kijeshi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) na kuunda kikosi kipya cha amani cha mpito cha ATMIS.

  • Waliouawa katika hujuma pacha za mabomu Somalia wafika 48

    Waliouawa katika hujuma pacha za mabomu Somalia wafika 48

    Mar 24, 2022 22:00

    Watu 48 wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji wa Beledweyne katika eneo la Hiran, katikati ya Somalia. Watu wenine 108 wamejeruhiwa katika mahambulizi hayo pacha.

  • Magaidi 2 wa al-Shabaab wauawa wakijaribu kushambulia uwanja wa ndege Somalia

    Magaidi 2 wa al-Shabaab wauawa wakijaribu kushambulia uwanja wa ndege Somalia

    Mar 23, 2022 23:00

    Wanachama wawili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa walipojaribu kushambulia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aden Adde katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Zaidi ya watu 800,000 wamekuwa wakimbizi kutokana na ukame huko Ethiopia na Somalia

    Zaidi ya watu 800,000 wamekuwa wakimbizi kutokana na ukame huko Ethiopia na Somalia

    Mar 10, 2022 00:41

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, ukame na uhaba wa chakula umewafanya watu zaidi ya 845,000 kuwa wakimbizi huko Ethiopia na Somalia.

  • Somalia yaakhirisha tena muhula wa kumalizika uchaguzi wa Bunge

    Somalia yaakhirisha tena muhula wa kumalizika uchaguzi wa Bunge

    Feb 25, 2022 23:08

    Kwa mara nyingine tena, Somalia imetangaza kusogeza mbele muhula wa mwisho uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kumalizika uchaguzi wa Bunge nchini humo.

  • IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itaakhirisha tena uchaguzi

    IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itaakhirisha tena uchaguzi

    Feb 22, 2022 23:07

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema huenda likasimamisha ushirikiano wake wa kifedha na serikali ya federali ya Somalia katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, iwapo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika itaakhirisha tena uchaguzi.

  • Watu 14 wauawa baada ya gaidi kujiripua kwa bomu Somalia

    Watu 14 wauawa baada ya gaidi kujiripua kwa bomu Somalia

    Feb 20, 2022 04:28

    Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha baada ya gaidi aliyekuwa amejifunga bomu kujiripua katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS