-
Larijani asisitiza kuendelezwa ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Syria
Jun 08, 2016 14:18Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Bi Hadiyeh Khalaf al Abbas Spika Mpya wa kwanza mwanamke wa bunge la Syria na kueleza kuwa stratejia ya Iran ni kushirikiana pande zote na serikali na wananchi wa Syria ili kurejesha amani na uthabiti nchini humo.
-
Mufti wa Syria: Bila shaka Wasyria watashinda njama za maadui
Apr 21, 2016 03:52Mufti Mkuu wa Syria amesema kuwa, ni suala lisilo na shaka kwamba Wasyria wataibuka washindi dhidi ya njama chafu za maadui, licha ya kuwepo mashinikizo mengi yanayolenga umoja wa kitaifa wa nchi hiyo.