-
Madaktari Wairani washiriki kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Srebrenica
Jul 09, 2018 03:53Kundi la madaktari na wasomi wa Iran linashiriki katika kumbukumbu ya 22 ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Waserbia dhidi ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica huko Bosnia Herzegovina.
-
Mauaji ya Waislamu wa Srebrenica yakumbukwa
Jul 11, 2016 16:59Maelfu ya watu leo wameshiriki katika shughuli ya kukumbuka maelfu ya Waislamu wa Srebrenica waliouawa kinyama na Waserbia wa Bosnia Herzegovina miaka kadhaa iliyopita.