-
Wasudan waandamana tena kupinga utawala wa kijeshi, 50 wajeruhiwa
Mar 04, 2022 08:47Zaidi ya watu 50 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na miji mingine mikubwa ya nchi hiyo.
-
Wapinzani wa utawala wa kijeshi Sudan wataka kuondoa wanajeshi wa nchi hiyo katika vita vya Yemen
Feb 28, 2022 10:22Kamati za wanamapambano wa Sudan zimetoa wito wa kurejeshwa nyumbani wanajeshi wa nchi hityo wanaoshirikiana na Saudi Arabia katika vita dhidi ya taifa la Yemen.
-
Mtaalamu wa UN awasili Sudan kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya jeshi
Feb 22, 2022 08:22Mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa yuko nchini Sudan kuthibitisha madai ya wwa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo Oktoba mwaka jana ambayo yameitumbukiza nchi katika machafuko na kusababisha maandamano ya karibu kila siku dhidi ya utawala wa kijeshi.
-
28 wajeruhiwa katika maandamano ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi
Feb 18, 2022 08:02Watu wasiopungua 28 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
Al-Burhan: Jeshi la Sudan litatimiza ahadi ya kuitisha uchaguzi 2023
Feb 14, 2022 23:32Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesisitiza kuwa, jeshi litatimiza ahadi yake ya kuitisha uchaguzi katikati ya mwaka 2023 na wala halina nia ya kurefusha kipndi cha utawala mpito.
-
Burhan apongeza 'uhusiano wa kijasusi' wa Sudan na Israel
Feb 13, 2022 09:07Mkuu wa Jeshi la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amejitokeza hadharani na kutetea kitendo chake cha kiafriti, cha kushinikiza kuboresha uhusiano wa kawaida wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel.
-
Wasudan waandamana kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 11, 2022 07:09Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na utawala wa majenerali wa kijeshi nchini mwao.
-
Maandamano mapya ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi
Feb 08, 2022 04:18Mamia ya wananchi wa Sudan jana Jumatatu kwa mara nyingine tena waliandamana katika mji mkuu Khartoum kupinga utawala wa kijeshi nchini humo.
-
UN: Imarati inasaidia magenge ya watu wenye silaha magharibi mwa Sudan
Feb 06, 2022 01:11Umoja wa Mataifa umetoa ripoti yake maalumu na kusema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unayasadia magenge yenye silaha katika jimboi la Darfur la magharibi mwa Sudan.
-
Maandamano ya Wasudani kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya nchi hiyo
Jan 27, 2022 08:22Raia wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano wakipinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi yao na wamemtaka mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo.