-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan: Tunafanya juhudi za kufikia mapatano kuhusu Bwawa la Renaissance
May 30, 2021 08:58Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Sudan amesema nchi yake ina azma kubwa ya kufikia mapatano madhubuti na nchi jirani ya Ethiopia kuhusiana na kadhia ya kujazwa maji na kuanza kufanya kazi bwawa hilo.
-
Mazungumzo ya amani yaanza baina ya serikali ya Sudan na waasi wa SPLM huko Juba
May 26, 2021 21:51Mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Sudan na Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Sudan tawi la Kaskazini (SPLM) yalianza jana katika mji wa Juba chini ya usimamizi wa Rais ya serikali ya Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit.
-
Waziri Mkuu wa Sudan alaani mauaji ya maandamano mjini Khartoum
May 13, 2021 02:37Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amesema "ameshtushwa" na mauaji ya waandamanaji wanaotetea haki za Wasudani waliouawa na askari usalama miaka miwili iliyopita na ameyataja mauaji ya sasa kuwa ni "uhalifu wa kutumia risasi hai dhidi ya watu wanaoandamana kwa amani".
-
Sudan yasitisha mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha Russia kwa sababu ya Marekani
Apr 28, 2021 23:13Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, mkataba wa kujenga kituo cha kijeshi cha nchi hiyo nchini Sudan umesimamishwa na serikali ya Khartoum.
-
Ethiopia: Misri na Sudan hazitaki mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha utatuliwe
Apr 27, 2021 23:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amepuuza vitisho vya Misri na Sudan dhidi ya nchi hiyo na kusema kuwa, Cairo na Khartoum hazitaki kuona mzozo kuhusu Bwawa la al-Nahdha unapatiwa ufumbuzi na kumalizika.
-
Addis Ababa: Hakuna askari yeyote wa Ethiopia aliyekuwa mateka nchini Sudan
Apr 22, 2021 03:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema Sudan imeikabidhi nchi hiyo wakulima 59 na wanamgambo wawili wa kieneo.
-
Ethiopia: File na bwawa la Renaissance si kadhia ya kimataifa
Apr 16, 2021 07:36Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ethiopia amepinga mpango wowote wa kulifanya suala la bwawa la Renaissance kuwa mgogoro wa kimataifa.
-
Ujumbe wa Sudan kufanya safari rasmi ya kuelekea Israel wiki ijayo
Apr 15, 2021 08:21Maafisa wawili wa Sudan wamefichua kuwa, ujumbe wa serikali ya nchi hiyo utafanya ziara ya kwanza rasmi kuelekea Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) wiki ijayo.
-
Wasudani waandamana mbele ya ikulu ya rais wakilalamikia hali mbaya ya kiuchumi
Apr 12, 2021 05:59Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano mbele ya ikulu ya rais wa nchi hiyo mjini Khartoum wakilalamikia hali mbaya ya uchumi na ughali wa maisha.
-
Sudan: Endapo tutaingia katika vita na Ethiopia tutaibuka na ushindi
Apr 12, 2021 03:40Mjumbe wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan ametangaza kuwa, endapo nchi yake itaingia katika vita na Ethiopia basi itaibuka na ushindi.