Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Marekani imekasirishwa na juhudi za kutaka kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Marekani imekasirishwa na juhudi za kutaka kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Apr 22, 2023 09:00

    Sambamba na hamu iliyoonyeshwa na Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka Syria irejee katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Marekani imezifahamisha Saudia na utawala haramu wa Israel kwamba inapinga juhudi hizo za kuirejesha Damascus katika jumuiya hiyo.

  • Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?

    Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?

    Apr 21, 2023 04:28

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuanguka kwa moja ya ndege zake zisizo na rubani wakati wa uvamizi wa anga ya Syria.

  • Iraq yakaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudia

    Iraq yakaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudia

    Apr 14, 2023 03:48

    Iraq imekaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudi Arabia, iliyotolewa mwishoni mwa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad mjini Riyadh siku ya Jumatano.

  • Damascus: Shambulio dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa linaonyesha sura ya apartheid ya utawala wa Israel

    Damascus: Shambulio dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa linaonyesha sura ya apartheid ya utawala wa Israel

    Apr 13, 2023 04:39

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni matokeo ya ubaguzi wa rangi na tabia ya kigaidi ya utawala huo.

  • Kuongezwa kiwango cha uhusiano wa Tunisia na Syria; kutoka uwakilishi hadi balozi kamili

    Kuongezwa kiwango cha uhusiano wa Tunisia na Syria; kutoka uwakilishi hadi balozi kamili

    Apr 06, 2023 22:50

    Syria imepongeza uamuzi wa Rais Kais Saied wa Tunisia wa kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wa kidiplomasia katika ubalozi wa nchi hiyo mjini Damascus Syria.

  • IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa

    IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa

    Apr 02, 2023 07:22

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa: bila ya shaka yoyote jinai za utawala bandia na mtenda jinai wa Kizayuni hazitaachwa bila kujibiwa; na utawala huo haramu utalipa gharama za jinai zake.

  • Gazeti la Wall Street: Syria na Misri zinakaribia kurejesha uhusiano wa kidiplomasia

    Gazeti la Wall Street: Syria na Misri zinakaribia kurejesha uhusiano wa kidiplomasia

    Apr 02, 2023 07:20

    Duru za kuaminika zimelidokeza gazeti la Wall Street (WSJ) linalochapishwa nchini Marekani kwamba Syria na Misri ziko katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia ambao ulivunjwa baada ya kuzuka mgogoro nchini Syria mnamo mwaka 2011.

  • Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria

    Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria

    Apr 02, 2023 04:35

    Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.

  • Duru mpya ya oparesheni za kijeshi dhidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Syria

    Duru mpya ya oparesheni za kijeshi dhidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Syria

    Mar 26, 2023 06:50

    Vituo vya kijeshi vya Marekani nchini Syria vimelengwa kwa makombora, na Marekani nayo kutoa jibu kwa oparesheni hiyo kwa kutekeleza mashambulizi.

  • Hatua za Saudi Arabia na Qatar kwa ajili ya kurejesha uhusiano na Syria

    Hatua za Saudi Arabia na Qatar kwa ajili ya kurejesha uhusiano na Syria

    Mar 25, 2023 09:56

    Nchi za Kiarabu zimeamua kurekebisha sera zao kuhusiana na Syria na sasa zimeweka mguu katika njia ya mazungumzo na kurejesha uhusiano na serikali ya Damascus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS