Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Vikosi vamizi vya US vyashambuliwa kwa maroketi mashariki ya Syria

    Vikosi vamizi vya US vyashambuliwa kwa maroketi mashariki ya Syria

    Mar 25, 2023 03:38

    Kambi mbili haramu za wanajeshi vamizi wa Marekani zimeshambuliwa kwa makumi ya maroketi huko mashariki mwa Syria.

  • Baada ya kupita miaka kumi, Saudia na Syria zinatarajia kufungua tena balozi zao

    Baada ya kupita miaka kumi, Saudia na Syria zinatarajia kufungua tena balozi zao

    Mar 24, 2023 06:31

    Televisheni ya Saudi Arabia imemnukuu afisa mmoja katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo na kutangaza kuwa Riyadh imeanza mazungumzo na Syria ili kuanza tena kutoa huduma za kibalozi.

  • Iran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Aleppo yanakiuka sheria za kimataifa

    Iran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Aleppo yanakiuka sheria za kimataifa

    Mar 23, 2023 23:18

    Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aleppo (Halab) huko kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa, uvamizi huo unakanyaga sheria za kimataifa, Hati ya Umoja wa Mataifa mbali na kuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi.

  • Ufunguzi wa ubalozi wa Saudia mjini Damascus baada ya miaka 12

    Ufunguzi wa ubalozi wa Saudia mjini Damascus baada ya miaka 12

    Mar 20, 2023 06:50

    Vyanzo vya kuaminika vinasema kwamba Saudi Arabia inapanga kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Watoto karibu 50 kutoka familia za magaidi wa Daesh kuhamishiwa Moscow

    Watoto karibu 50 kutoka familia za magaidi wa Daesh kuhamishiwa Moscow

    Mar 12, 2023 23:18

    Watoto karibu 50 wa familia za masalia ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) wamehamishwa katika mji mkuu wa Russia, Moscow.

  • Kurejeshwa uhusiano wa kisiasa wa Tunisia na Syria; pigo jingine kwa wenzo wa Magharibi wa kuitenga kisiasa Damascus

    Kurejeshwa uhusiano wa kisiasa wa Tunisia na Syria; pigo jingine kwa wenzo wa Magharibi wa kuitenga kisiasa Damascus

    Mar 12, 2023 22:58

    Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza kuwa, serikali yake imechukua uamuzi wa kurejesha kikamilifu uuhusiano wake na taifa la Syria.

  • Abdollahian: Umefika wakati vikosi vamizi viondoke Syria mara moja

    Abdollahian: Umefika wakati vikosi vamizi viondoke Syria mara moja

    Mar 10, 2023 04:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya nchi ajinabi vinapaswa kuondoka katika ardhi ya Syria haraka iwezekanavyo.

  • Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Mar 09, 2023 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani wimbi la mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria, wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na matatizo chungu nzima kutoka na maafa makubwa ya matetemeko ya ardhi.

  • US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala

    US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala

    Mar 05, 2023 07:19

    Marekani kwa kushirikiana na mamluki wa Kikurdi imeendelea kuiba mafuta ya Syria, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajaribu kujinasua kutoka kwenye misukosuko na changamoto zinazotokana na matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu nchini humo.

  • UNICEF: Watoto milioni 3.7 walioathirika na zilzala Syria wana hali mbaya

    UNICEF: Watoto milioni 3.7 walioathirika na zilzala Syria wana hali mbaya

    Mar 03, 2023 04:15

    Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF amesema, watoto milioni 3.7 ambao walinusurika na matetemeko ya ardhi ya tarehe 6 Februari mwaka huu katika maeneo yaliyoathirika nchini Syria wanakabiliwa na ongezeko la vitisho kadhaa vya zahma kubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS