Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • UN: Mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni sawa na jinai za kivita

    UN: Mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni sawa na jinai za kivita

    Sep 12, 2019 03:24

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mashambulizi yanayofanywa na Marekani na washirika wake huko Syria ni sawa na jinai za kivita.

  • Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi

    Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi

    Sep 08, 2019 20:02

    Serikali ya Syria imelaani hatua ya majeshi ya Marekani na Uturuki ya kupiga doria ya pamoja katika eneo liliilopewa jina la "ukanda wa amani" huko mashariki mwa Furati kaskazini mwa Syria na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawa ya Syriia.

  • Zarif: Iran inaunga mkono ushiriki chanya wa Syria na Umoja wa Mataifa

    Zarif: Iran inaunga mkono ushiriki chanya wa Syria na Umoja wa Mataifa

    Sep 03, 2019 08:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu azma ya Tehran ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria kwa njia ya kisiasa na akasema Iran inaunga mkono ushiriki wowote chanya kati ya Damascus na Umoja wa Mataifa.

  • Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Sep 03, 2019 03:37

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • Iran na Syria, kuanzia vita dhidi ya ugaidi hadi kwenye ushirikiano wa kiuchumi

    Iran na Syria, kuanzia vita dhidi ya ugaidi hadi kwenye ushirikiano wa kiuchumi

    Aug 30, 2019 03:29

    Waziri wa Barabara na Ujenzi wa Iran amewasili katika mji mkuu wa Syria, Damascus kwa shabaha ya kufuatilia ushirikiano wa kiuchumi na kuchunguza njia za kuimarisha zaidi ushirikiano wa pande mbili.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Aug 26, 2019 07:31

    Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.

  • Jeshi la Syria lachukua udhibiti wa miji katika ngome ya mwisho ya magaidi

    Jeshi la Syria lachukua udhibiti wa miji katika ngome ya mwisho ya magaidi

    Aug 23, 2019 22:16

    Jeshi la Syria limechukua udhibiti wa eneo la kaskazini maghairbi mwa mkoa wa Hama ambalo lilikuwa linashikiliwa na magaidi tangu miaka ya awali ya vita nchini humo.

  • Bashar al-Jaafari: Chimbuko la mizozo ya Mashariki ya Kati ni uvamizi wa Israel

    Bashar al-Jaafari: Chimbuko la mizozo ya Mashariki ya Kati ni uvamizi wa Israel

    Aug 21, 2019 03:19

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, chimbuko la mizozo na migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya Israel ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za Kiarabu ikiwemo miinuko ya Golan ya Syria.

  • Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib

    Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib

    Aug 20, 2019 02:26

    Jeshi la Syria usiku wa kiamkia tarehe 18 Agosti liliingia katika eneo la Khan Sheikhoun huko kusini mwa mkoa wa Idlib.

  • Pentagon yakadhibisha madai ya Trump, yasema Daesh bado inaendesha shughuli zake Iraq na Syria

    Pentagon yakadhibisha madai ya Trump, yasema Daesh bado inaendesha shughuli zake Iraq na Syria

    Aug 07, 2019 23:31

    Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 19 Disemba 2018 alitangaza kuwa, askari wa Marekani wataondoka nchini Syria. Trump alidai kuwa, sababu ya uamuzi huo ni kushindwa kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS