Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya

    Aug 02, 2019 07:27

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la Daesh katika mgogoro wa Syria kwa lengo la kuindoa madarakani serikali halali ya nchi hiyo.

  • Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria

    Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria

    Aug 01, 2019 20:46

    Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.

  • UN yatahadharisha juu ya kuendelea mashambulizi ya magaidi huko Syria

    UN yatahadharisha juu ya kuendelea mashambulizi ya magaidi huko Syria

    Jul 31, 2019 03:23

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kundi la kigaidi la Jabhatul Nusra lingali linaendelea kuwashambulia wananchi wa Syria.

  • Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili

    Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili

    Jul 29, 2019 22:29

    Kundi la Vipanga (Falcons) la shirika la upelelezi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq limetangaza kuwa, kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi amejificha Syria na angali na satua baina ya wafuasi wa kundi hilo japokuwa amepooza viungo.

  • Ujumbe wa Putin kwa Bashar al Assad: Russia itaendelea kuiunga mkono Syria

    Ujumbe wa Putin kwa Bashar al Assad: Russia itaendelea kuiunga mkono Syria

    Jul 21, 2019 22:01

    Rais wa Russia amesisitiza katika ujumbe aliomtumia Rais mwenzake wa Syria kwamba Moscow itaendelea kuunga mkono umoja wa ardhi yote ya Syria.

  • Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Jul 20, 2019 03:32

    Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Daesh ameangamizwa na vikosi vya kiintelijensia vya Iran katika mkoa wa Deir Ezzur, mashariki mwa Syria.

  • Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena

    Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena

    Jul 11, 2019 21:55

    Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria inatazamiwa kuanza mapema mwezi ujao wa Agosti huko Nur-Sultan mji mkuu wa Kazakhstan.

  • Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria

    Jul 09, 2019 03:48

    Rais Donald Trump wa Marekani Disemba mwaka 2018 aliwaahidi Wamarekani kwamba ataliondoa jeshi la nchi hiyo huko Syria. Trump alitoa ahadi hiyo katika kile kinachoaminika kuwa ni sehemu ya kutekeleza kampeni yakee ya kubakia ikulu ya White House.

  • Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Jul 07, 2019 03:18

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Russia yaunga mkono njia ya kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria

    Russia yaunga mkono njia ya kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria

    Jul 05, 2019 23:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amehimiza kufanyika juhudi zaidi za kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria na kujiepusha na kutumia mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS