-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Syria yaushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel Umoja wa Mataifa
Jul 02, 2019 03:14Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja huo ikilaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo na kusema uchokozi huo ni sehemu ya njama za Tel Aviv za kutaka kurefusha mgogoro nchini Syria.
-
Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija
Jun 08, 2019 22:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.
-
Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil awafariji maelfu ya maskini, wakimbizi wa Syria katika harusi yake
Jun 08, 2019 07:37Mchezaji nyota wa klabu ya Arsenal mwenye asili ya Uturuki siku ya Ijumaa alifunga ndoa na barafu wake wa moyo mwenye uraia pacha wa Uturuki na Sweden, Amina Gulche.
-
Spika wa Bunge la Iran: Sera za Saudia na Imarati zitawadhuru siku za usoni
Jun 02, 2019 10:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema sera za Saudi Arabia na Imarati (UAE) zitawadhuru katika siku za usoni.
-
Walid al Mualim: Mzingiro wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya Syria ni aina ya ugaidi
May 30, 2019 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa mzingiro wa kiuchumi wa Marekani na baadhi ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na katika eneo dhidi ya wanachi wa Syria ni aina fulani ya ugaidi.
-
Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria
May 30, 2019 03:22Licha ya kutangazwa kwa mara ya kwanza na Rais Donald Trump wa Marekani habari ya kuondoka askari wa nchi yake kutoka Syria, hapo tarehe 19 Disemba mwaka jana, lakini hadi sasa Washington imeendelea kusisitizia kubakisha askari wake nchini humo.
-
Magaidi 350 waangamizwa na jeshi la Syria katika kipindi cha siku 4
May 25, 2019 21:58Kituo cha uratibu cha Russia katika kambi ya kijeshi ya Mheimim ya magharibi mwa Syria kimetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 350 katika mkoa wa Idlib wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, kwenye kipindi cha siku nne zilizopita.
-
OIC yaitaka Israel ikabidhi maeneo yote iliyoghusubu ikiwemo Golan
May 11, 2019 03:21Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukabidhi maeneo yote ulioyaghusubu ikiwemo Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Amnesty: Muungano wa kijeshi wa Marekani uliua raia 1,600 Raqqa, Syria
Apr 26, 2019 09:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani uliua mamia ya raia katika mji wa Raqqa, kaskazini mashariki mwa Syria.