-
Syria yaridhia ombi la serikali ya Qatar la kutaka ndege zake kutumia anga ya nchi hiyo
Apr 24, 2019 09:25Wizara ya Usafirishaji ya Syria imekubali ombi la Shirika la Ndege la Qatar Air Ways la kutumia anga ya nchi hiyo kwa ndege zake, ambapo Damascus imetoa kibali hicho.
-
Usalama warejea Syria, wafanyaziara wa Iraq waingia kwa mabasi baada ya miaka 5 ya vita
Apr 23, 2019 05:20Vyombo vya habari nchini Iraq vimeripoti kwamba kwa mara ya kwanza mabasi yaliyowabeba wafanyaziara wa Iraq yameingia Syria kwa ajili ya kufanya ziara katika maeneo matakatifu ya kidini ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Mazungumzo ya Dakta Zarif na Rais Bashar al-Assad wa Syria
Apr 16, 2019 10:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Syria, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Sababu ya umuhimu wa kufikiwa makubaliano ya Iraq na Syria kwa ajili ya kufunguliwa vivuko vya kiistratijia
Apr 13, 2019 22:00Serikali ya Iraq imetangaza habari ya kufikiwa makubaliano na Syria juu ya kufunguliwa vivuko vya pamoja vya mpakani.
-
Ngao ya anga ya Syria yatungua makombora ya Israel
Apr 13, 2019 03:00Syria imetangaza kuwa, mfumo wa ulinzi wa anga wa jeshi la nchi hiyo umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mji wa Hama.
-
IPU: Uamuzi wa Marekani dhidi ya Golan ya Syria unakiuka azimio la UN
Apr 11, 2019 09:24Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) imelaani uamuzi wa upande mmoja wa rais wa Marekani kuutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kama mmiliki wa Miinuko ya Golan ya Syria na kusema uamuzi huo unapingana waziwazi na azimio nambari 497 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la Rais Putin la kuweko juhudi za pamoja za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Apr 10, 2019 02:09Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya kutwishwa nchi hiyo vilivyoanza 2011, ulipelekea Syria kugeuka na kuwa medani ya makabiliano baina ya Wamagharibi na waitifaki wao wa Kiarabu pamoja na Uturuki hapo awali dhidi ya mhimili wa muqawama ukijumuisha na Russia.
-
Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Apr 07, 2019 02:33Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.
-
Mfalme wa Jordan: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Apr 06, 2019 10:14Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa, kwa mujibu wa hati na maazimo yote ya kimataifa, milima ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo.
-
Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria
Mar 31, 2019 22:21Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.