Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria

    Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria

    Mar 30, 2019 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika itaziongoza nchi nyingine za Kiarabu na jamii ya kimataifa katika kutoa radimali kwa hatua ya kichochezi ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel.

  • Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi

    Mar 29, 2019 03:43

    Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.

  • Syria yalitaka Baraza la Usalama la UN liitishe mkutano wa dharura kuhusu Golan

    Syria yalitaka Baraza la Usalama la UN liitishe mkutano wa dharura kuhusu Golan

    Mar 27, 2019 11:38

    Serikali ya Syria imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liitishe kikao cha dharura cha kujadili hali ya hivi sasa ya Miinuko ya Golan, kufuatia hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko hiyo kuwa ni mali na miliki ya utawala haramu wa Israel.

  • Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote

    Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote

    Mar 26, 2019 03:02

    Syria imesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa milki ya utawala haramu wa Israel katu haiwezi kubadilisha ukweli kwamba miinuko hiyo ni mali halali ya Syria.

  • Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS

    Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS

    Mar 24, 2019 10:47

    Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.

  • Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Mar 24, 2019 07:46

    Hivi karibuni na kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Donald Trump wa Marekani alidai kuwa utawala haramu wa Israel unayo mamlaka ya utawala wa miinuko ya Golan.

  • Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa

    Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa

    Mar 22, 2019 20:00

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria sambamba na kulaani vikali matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, imesema kuwa siasa za kupenda kujitanua na za mabavu za Washington, ndio sababu kuu ya kuibuka ghasia na tishio kwa usalama na uthabiti wa kimataifa.

  • Rais wa Syria akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi

    Rais wa Syria akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi

    Mar 20, 2019 04:13

    Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa vikali sera ya undumakuwili ya baadhi ya nchi katika vita dhidi ya ugaidi.

  • Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus

    Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus

    Mar 16, 2019 01:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, kinyume na matakwa ya Marekani, magaidi wote wa nchi za kigeni walioko Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus.

  • Unicef: Mwaka 2018 umeshuhudia mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto wa Syria

    Unicef: Mwaka 2018 umeshuhudia mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto wa Syria

    Mar 12, 2019 12:45

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mwaka 2018 ndio uliokuwa na mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS