-
Syria: Hatutosita kukabiliana na ukaliwaji mabavu wa milima yetu ya Golan
Mar 06, 2019 10:42Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesisitiza kwamba, serikali ya Damascus haitosita kukabiliana na njama za utawala haramu wa Israel zenye lengo la kuendelea kuikalia kwa mabavu milima ya Golan.
-
Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi
Mar 02, 2019 22:56Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.
-
Rouhani: Iran itasaidia kuijenga upya Syria na kuirejeshea utulivu
Feb 26, 2019 04:19Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili wakimbizi wa Syria
Feb 22, 2019 13:16Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali ya kutisha waliyonayo wakimbizi walioukimbia mji wa Hajin huko mashariki mwa Syria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria
Feb 21, 2019 21:42Nchi za Ulaya zimelikataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuzitaka zipeleke vikosi vya majeshi yao nchini Syria na kujaza nafasi itakayoachwa wazi na vikosi vya jeshi la Marekani.
-
Syria: Tutarejesha udhibiti wa milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel
Feb 21, 2019 04:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesema kuwa kukombolewa na kudhibitiwa upya milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni ni haki ya kisheria ya serikali na taifa la Syria.
-
Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa jeshi la Syria
Feb 21, 2019 04:11Idadi kubwa ya wachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa jeshi la serikali ya Syria kutokana na kukaribia kuibuka mapigano makali kati ya magaidi hao na wapiganaji wa Kikurdi wanaoitwa 'Syrian Democratic Forces' katika eneo la Al-Baghuz, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Uhispania yapinga kutumwa nchini Syria wanajeshi wa muungano wa Nato
Feb 17, 2019 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amepinga ombi la Marekani kwa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kwa ajili ya kutumwa wanajeshi wa nchi hizo huko Syria.
-
Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria
Feb 15, 2019 21:56Kamanda wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani amekiri kwamba uingiliaji kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Syria haukuwa na mafanikio.
-
BBC yakiri kuwa shambulio la silaha za kemikali Douma, Syria lilikuwa bandia
Feb 15, 2019 04:05Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la BBC la utawala wa kifalme wa Uingereza amekiri kuwa shambulio la kemikali lililodaiwa kufanywa katika mji wa Douma nchini Syria mwaka 2018 lilikuwa bandia na hata London ilikuwa inatambua vyema kwamba hakuna gesi yoyote ya sumu iliyotumika kwenye mji huo.