-
Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria
Feb 10, 2019 23:19Mahdi Taqee, Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, hadi sasa jumla ya wabunge 70 wa nchi hiyo wameshatia saini muswada wa kisheria wa kushinikiza kutimuliwa nchini humo askari wa kigeni hususan wa Marekani.
-
UN yatiwa wasiwasi na taathira mbaya za vita kwa watoto wa Syria
Feb 09, 2019 00:15Kamati ya Haki za Watoto ya Umoja wa Mataifa imeeleza wasiwasi wake kuhusu taathira mbaya za vita vya zaidi ya miaka saba na mashambulizi ya kigaidi kwa maisha ya watoto wa syria.
-
Maandalizi ya kutekelezwa na magaidi shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun, Syria
Feb 07, 2019 07:46Jumanne iliyopita, duru za habari nchini Syria ziliripoti kuwepo maandalizi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Tahriru sh-Sham (Jab'hatu Nusrah) kwa ajili ya kutekeleza shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun, kusini mwa mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Syria mwaka 2018 iliuza bidhaa zake katika nchi 90 duniani
Feb 06, 2019 23:26Muungano wa Jumuiya za Syria zinazouza bidhaa nje ya nchi umetangaza kuwa, mwaka uliopita wa 2018 nchi hiyo iliuza bidhaa kwa nchi 90 duniani zikiwemo zile ambazo zilikuwa zimeiwekea vikwazo Damascus.
-
Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria
Feb 06, 2019 03:34Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria.
-
Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui
Jan 29, 2019 21:41Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitizia umuhimu wa kuendelea kushirikiana nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuzima njama za maadui wa mataifa haya mawili.
-
Jahangiri: Kama Iran isingelizisaidia Iraq na Syria, sasa hivi magaidi wangelikuwa na dola lao katika eneo hili
Jan 27, 2019 12:03Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kama Tehran isingelizisaidia Baghdad na Damascus katika mapambano yao dhidi ya magenge ya kigaidi, basi sasa hivi magenge hayo yangelikuwa yanazitawala nchi hizo.
-
Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani
Jan 27, 2019 04:38Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.
-
Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League
Jan 27, 2019 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Khemaies Jhinaoui ametoa mwito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuirejeshea Syria kiti chake cha uwanachama katika jumuiya hiyo na kusisitiza kwamba "mahali pa kimaumbile" pa nchi hiyo ni katika jumuiya hiyo yenye nchi 22 wanachama.
-
Mamia ya wanajeshi wa Marekani na malori 250 yenye silaha waingia Syria
Jan 26, 2019 01:03Katika hali ambayo Washington inadai kuwa ina mpango wa kuondoa wanajeshi wake huko Syria; kundi moja linalofahamika kama Kundi la Kutetea Haki za Binadamu la Syria limeripoti habari kuhusu kuwasili nchini humo mamia ya wanajeshi wa Marekani wakiwa na makumi ya malori yenye silaha.