-
Syria yaalikwa kushiriki kikao cha mabunge ya nchi za Kiarabu
Jan 25, 2019 23:27Duru za Jordan zinaarifu kuwa Atef Tarawneh, spika wa bunge la Jordan amemwalika spika mwenzake wa Syria Hammouda Sabbagh, kushiriki katika kongamano la 29 la mabunge ya nchi za Kiarabu ambalo limepangwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi huko Amman mji mkuu wa Jordan.
-
Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi
Jan 24, 2019 12:26Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amewataka viongozi wa utawala huo wasidharau tahadhari iliyotolewa na Syria kwamba kama Israel itaendelea kufanya mashambulizi nchini humo, basi Syria nayo itajibu kwa kuushambulia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.
-
Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria
Jan 22, 2019 04:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina zimelaani mashambulizi mapya ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Al Hashdu sh-Sha'abi: Mashambulizi yetu dhidi ya Daesh huko Syria yameua na kujeruhi magaidi 35
Jan 19, 2019 04:08Kamanda wa Operesheni za mkoa wa Al Anbar za Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq amesema kuwa, katika mashambulizi ya jana ya harakati hiyo dhidi ya ngome za magaidi wa kundi la Daesh (ISIS), magaidi 35 wa genge hilo wameuawa na kujeruhiwa.
-
Al Hashdu sh-Sha'abi yashambulia ngome za magaidi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria
Jan 18, 2019 23:31Harakati ya Wananchi ya al Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq imefanya shambulizi dhidi ya ngome na maeneo ya magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Deir ez-Zor nchini Syria, ambapo kwa akali magaidi 15 wameangamizwa.
-
Askari watano wa Marekani wauawa katika shambulio la bomu Manbij, kaskazini mwa Syria
Jan 17, 2019 12:45Askari wasiopungua watano wa jeshi la Marekani na raia 18 wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na mahali ulipokuwa ukipita msafara wa askari wa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani, katika mji wa Manbij kaskazini mwa Syria.
-
Katibu Mkuu wa Arab League: Tutairejeshea Syria uanachama wake
Jan 16, 2019 23:15Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema kuwa, licha ya kwamba suala la Syria ni tata kutokana na uingiliaji wa madola ya kigeni, lakini bila ya shaka yoyote Damascus itarejeshewa uanachama wake katika jumuiya hiyo.
-
Onyo la Russia kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria
Jan 14, 2019 23:11Balozi wa Russia mjini Beirut ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Uturuki yasema haibabaishwi na vitisho vya Trump
Jan 14, 2019 23:11Waziri wa Mambo ya Nje ya Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema nchi hiyo haibabaishwi wala kutiwa kiwewe na kauli ya vitisho ya Rais Donald Trump kwamba Marekani itausabababishia matatizo uchumi wa Ankara.
-
Syria na Tunisia zajadili suala la Rais Assad kushiriki kikao cha Arab League
Jan 12, 2019 08:41Serikali ya Tunisia na Syria zimefanya mazungumzo kujadili suala la kushiki Rais Bashar al-Assad katika kikao kijacho cha viongozi wa Kiarabu.