Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Putin: Damascus haina silaha za kemikali; magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria

    Putin: Damascus haina silaha za kemikali; magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria

    Mar 10, 2018 23:58

    Akizungumza katika mahojiano na televisheni ya NBC, Rais wa Russia ameeleza kuwa madai yanayotolewa na Marekani kwamba serikali ya Syria inatumia silaha za kemikali ni ya uwongo na kwamba magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria.

  • Sheikh wa Kisuni nchini Syria: Iran imebadili mlingano wa maadui katika eneo

    Sheikh wa Kisuni nchini Syria: Iran imebadili mlingano wa maadui katika eneo

    Mar 10, 2018 11:49

    Sheikh maarufu wa Waislamu wa Suni nchini Syria na Kiongozi wa Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Kuikomboa Palestina yenye makazi yake eneo la Zainabia mjini Damascus, mji mkuu wa Syria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutumia uwezo wake mkubwa imeweza kubadili mlingano wa maadui katika uga wa kisiasa na kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Syria: Madai ya Marekani dhidi yetu yanalenga kuwapa himaya magaidi

    Syria: Madai ya Marekani dhidi yetu yanalenga kuwapa himaya magaidi

    Mar 10, 2018 04:18

    Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema tuhuma zilizotolewa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Damascus hazina madhumuni mengine ghairi ya kuyakingia kifua na kuyapa himaya makundi ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Russia yalaani tuhuma bandia za Wamagharibi dhidi ya Syria kuhusu silaha za kemikali

    Russia yalaani tuhuma bandia za Wamagharibi dhidi ya Syria kuhusu silaha za kemikali

    Mar 06, 2018 23:43

    Msemaji wa ikulu ya Rais wa Russia amelaani tuhuma za madola ya Magharibi dhidi ya Syria kuhusiana na suala la matumizi ya silaha za kemikali.

  • Ndege ya jeshi ya Russia yaanguka Syria, yaua watu 32

    Ndege ya jeshi ya Russia yaanguka Syria, yaua watu 32

    Mar 06, 2018 13:45

    Watu 32 wameuawa katika ajali ya ndege ya jeshi la Russia iliyoanguka nchini Syria.

  • Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria

    Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria

    Mar 05, 2018 04:41

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muungano wa kimataifa unaodaiwa kuwa 'dhidi ya Daesh' chini ya uongozi wa Marekani, kwa sasa umegeuka na kuwa kikosi cha anga cha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.

  • Marais  Donald Trump na Abdel Fattah el-Sisi waijadili Iran

    Marais Donald Trump na Abdel Fattah el-Sisi waijadili Iran

    Mar 05, 2018 04:26

    Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo asubuhi ya leo amefanya mazungumzo ya simu na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Syria: Ushindi kadhaa wa jeshi dhidi ya magaidi umevuruga mlingano wa kimataifa

    Syria: Ushindi kadhaa wa jeshi dhidi ya magaidi umevuruga mlingano wa kimataifa

    Mar 03, 2018 01:10

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha Ba'ath nchini Syria Hilal Hilal amesema kuwa, ushindi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya makundi ya kigaidi na waasi, umesambaratisha mlingano wa kimataifa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Korea Kaskazini yashangazwa na madai ya Marekani kwamba ilituma silaha za kemikali Syria

    Korea Kaskazini yashangazwa na madai ya Marekani kwamba ilituma silaha za kemikali Syria

    Mar 02, 2018 10:24

    Serikali ya Korea Kaskazini imekadhibisha madai ya viongozi wa Marekani na kadhalika kundi la uchunguzi la Umoja wa Mataifa kwamba ilituma silaha zake za kemikali nchini Syria.

  • Kushindwa maadui mbele ya mhimili wa muqawama kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Kushindwa maadui mbele ya mhimili wa muqawama kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Mar 02, 2018 04:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Syria leo hii iko katika mstari wa mbele wa muqawama hivyo basi ni jukumu letu kuunga mkono kusimama kidete nchi hiyo na kwamba, Rais wa Syria Bashar al Assad amedhihirika katika sura moja ya mwana muqawama mkubwa na kwamba yupo imara na hakuna shaka yoyote kuhusu Rais Assad; na jambo hilo ni muhimu sana kwa nchi yoyote ile.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS