Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Kiongozi Muadhamu: Siku ya kusali sala ya jamaa Quds itafika karibuni hivi

    Kiongozi Muadhamu: Siku ya kusali sala ya jamaa Quds itafika karibuni hivi

    Mar 01, 2018 12:10

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, leo Alkhamisi ameonana na kundi la maulamaa wa Syria na kusisitizia wajibu wa kushikamana vilivyo na mambo yanayowaunganisha Waislamu wote. Amesema: Ni matumaini yetu sote tutaiona siku ambayo mtasali sala la jamaa mjini Quds na siku hiyo haiko mbali tena bali itafika karibuni hivi, ni sawa tu kama watu kama sisi tutakuwa bado tupo au hatupo tena.

  • Mogherini ataka kuandaliwa mazingira ya kusimamisha vita kote nchini Syria

    Mogherini ataka kuandaliwa mazingira ya kusimamisha vita kote nchini Syria

    Feb 28, 2018 12:58

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameziomba Russia, Iran na Uturuki ziandae mazingira ya kusimamisha mapigano huko Syria.

  • Hujuma za anga za Marekani zaendelea kuteketeza roho za Wasyria

    Hujuma za anga za Marekani zaendelea kuteketeza roho za Wasyria

    Feb 28, 2018 04:32

    Makumi ya raia wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani mashariki mwa mkoa wa Dayr al-Zawr nchini Syria.

  • Silaha za Israel zapatikana katika ngome za ISIS (Daesh) Syria

    Silaha za Israel zapatikana katika ngome za ISIS (Daesh) Syria

    Feb 27, 2018 22:02

    Vyombo vya habari nchini Syria vimerusha kanda ya video inayoonyesha silaha zilizotengenezewa Israel, katika maeneo yaliyokombolewa hivi karibuni kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), mkoani Dayr al-Zawr.

  • Silaha za Marekani ilizowapa magaidi Syria zapigwa mnada katika Intaneti! Russia yaonya kutumika silaha za kemikali

    Silaha za Marekani ilizowapa magaidi Syria zapigwa mnada katika Intaneti! Russia yaonya kutumika silaha za kemikali

    Feb 26, 2018 04:00

    Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua kuwa, silaha za nchi hiyo walizopewa magaidi nchini Syria zinapigwa mnada kwenye Intaneti. Hayo yametangazwa huku Russia ikitahadharisha kuwa magaidi wamepanga kufanya mashambulizi ya kemikali na baadaye kuisingizia serikali ya Syria.

  • Baraza la Usalama la UN lapasisha azimio la kusitisha vita kwa siku 30 Syria

    Baraza la Usalama la UN lapasisha azimio la kusitisha vita kwa siku 30 Syria

    Feb 24, 2018 23:54

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kusitishwa vita kwa siku 30 nchini Syria na kuruhusu upelekaji wa misaada ya kibinadamu katika maeneo yanayozingirwa.

  • Rais Putin awapongeza wanajeshi wa Russia walioko Syria

    Rais Putin awapongeza wanajeshi wa Russia walioko Syria

    Feb 24, 2018 10:55

    Rais Vladimir Putin wa Russia amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa nchi yake walioko nchini Syria.

  • Araqchi: Uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Araqchi: Uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Feb 22, 2018 11:06

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa kiushauri wa Iran huko Iraq na Syria na kupambana na ugaidi umeyakwaza makundi ya kigaidi na kuyafanya yashindwe kuwa na udhibiti katika Mashariki ya Kati ikiwemo Lebanon.

  • Syria yaitaka UN kuchukua hatua dhidi ya waungaji mkono ugaidi

    Syria yaitaka UN kuchukua hatua dhidi ya waungaji mkono ugaidi

    Feb 22, 2018 00:59

    Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikizungumzia ongezeko la mauaji ya kigaidi yanayofanywa dhidi ya raia wa Damascus na vitongoji vyake na kuutaka umoja huo kuchukua hatua dhidi ya nchi zinazoyasaidia na kuyafadhili makundi ya kigaidi.

  • Kufichuliwa uungaji mkono mpya wa utawala wa Kizayuni kwa makundi ya kigaidi nchini Syria

    Kufichuliwa uungaji mkono mpya wa utawala wa Kizayuni kwa makundi ya kigaidi nchini Syria

    Feb 22, 2018 00:56

    Katika taarifa yake gazeti la utawala haramu wa Israel la Haaretz limekiri kwamba Tel Aviv inajishughulisha zaidi na kuwapatia silaha magaidi nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS