-
Kuangamizwa DAESH kumetokana na mshikamano wa wananchi wa Syria na Iraq
Feb 20, 2018 04:42Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq amesema mshikamano wa wananchi wa nchi hiyo na wenzao wa Syria ndio uliowezesha kuangamizwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika eneo.
-
Saudia inalenga kuvuruga uthabiti katika eneo
Feb 18, 2018 04:00Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, katika masuala ya kimataifa amesema Saudi Arabia inalenga kuvuruga uthabiti katika eneo kwa kuvuruga serikali zilizopo.
-
Mufti wa Syria asisitiza kuhusu umoja wa nchi za Kiislamu
Feb 17, 2018 23:43Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesisitiza kuhusu ulazima wa kuungana mataifa na nchi za Kiislamu duniani.
-
Marekani na Israel; chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Syria
Feb 15, 2018 07:31Takribani wiki moja baada ya ndege ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel aina ya F16 kutunguliwa huko nchini Syria, viongozi wa Marekani wakiwa na lengo la kuuunga mkono utawala huo ghasibu, walidai bila hata soni kwamba, uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Syria eti ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani katika Mashariki ya Kati.
-
Iran yajibu tuhuma za Marekani: Siasa zenu ndio chanzo hasa cha kuvurugika uthabiti Mashariki ya Kati
Feb 15, 2018 04:52Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imetoa jibu kwa tuhuma za balozi wa Marekani katika umoja huo na kueleza kuwa: uungaji mkono wa kila hali kwa siasa za kichokozi na uvamizi za utawala wa Kizayuni ndio chanzo kikuu cha machafuko na ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati.
-
Syria yaionya Israel isithubutu tena kuingiza ndege zake nchini humo
Feb 15, 2018 00:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ametoa onyo kali akisema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu tena kuishambulia nchi yake vinginevyo itakumbwa na majibu yatakayouweka mdomo wazi.
-
Jeshi la Uturuki lashambulia kwa makombora maeneo ya makazi ya raia mjini Afrin, Syria
Feb 14, 2018 13:05Katika kuendelea na operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Syria, jeshi la nchi hiyo limeshambulia kwa makombora maeneo ya makazi ndani ya mji wa Afrin.
-
Kiongozi wa DAESH Abu Bakr al-Baghdadi angali hai nchini Syria lakini amejeruhiwa vibaya
Feb 13, 2018 13:14Mkuu wa Idara ya Intelijinsia na Kukabiliana na Ugaidi ya Iraq amesema, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) Abubakar al-Baghdadi angali hai na anapatiwa matibabu katika kituo kimoja cha tiba kaskazini mashariki mwa Syria baada ya kujeruhiwa vibaya katika shambulio la anga.
-
Russia: Marekani inahatarisha umoja wa ardhi yote ya Syria
Feb 13, 2018 13:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema Marekani inachukua hatua hatarishi na za upande mmoja ndani ya ardhi ya Syria zinazohatarisha umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo.
-
Velayati: Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia Magharibi
Feb 12, 2018 23:28Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia ya Magharibi na inayo haki ya kujibu na kuitikia miito ya nchi rafiki na mhimili wa muqawama.