Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Madai ya James Mattis dhidi ya Iran katika kuikingia kifua Israel

    Madai ya James Mattis dhidi ya Iran katika kuikingia kifua Israel

    Feb 12, 2018 11:01

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani akiwa na lengo la kutetea uvamizi wa utawala haramu wa Israel huko Syria na dhidi ya mhimili wa muqawama amedai kwamba, Iran ndio tatizo kubwa katika Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita

    Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita

    Feb 12, 2018 04:21

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, zile zama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mashambulizi na kuachiwa vivi hivi bila ya majibu zimeisha na kuanzia sasa shambulio lolote la Wazayuni litajibiwa vikali.

  • Kutunguliwa ndege ya kivita ya F16 ya Israel na Syria na ujumbe inaotoa hatua hiyo ya kistratijia

    Kutunguliwa ndege ya kivita ya F16 ya Israel na Syria na ujumbe inaotoa hatua hiyo ya kistratijia

    Feb 12, 2018 01:03

    Kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria asubuhi ya Jumamosi ya tarehe 10 Februari kiliitungua na kuiangusha ndege ya kivita aina ya F16 ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel iliyovamia anga ya nchi hiyo.

  • Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi

    Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi

    Feb 11, 2018 04:14

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ya kupongeza kitendo cha kuangamizwa ndege ya kisasa ya kivita ya utawala haramu wa Israel ya F16 katika anga ya Syria na kusisitiza kuwa, mlingano wa nguvu wa zamani sasa umebadilika.

  • Syria yatungua ndege ya kivita ya Israel aina ya F-16

    Syria yatungua ndege ya kivita ya Israel aina ya F-16

    Feb 10, 2018 13:11

    Jeshi la Syria limetungua ndege moja ya kivita ya utawala haramu wa Israeli aina ya F-16 ambayo ilikuwa imetekekeza hujuma ndani ya ardhi ya Syria mapema leo.

  • Umoja wa Mataifa: Hali ya mgogoro wa kibinadamu Syria inatia wasiwasi

    Umoja wa Mataifa: Hali ya mgogoro wa kibinadamu Syria inatia wasiwasi

    Feb 10, 2018 04:18

    Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi mkubwa na kuendelea mgogoro wa Syria na kutoa wito wa kukomeshwa mgogoro huo.

  • Kikao cha UN kuhusu Syria chamalizika bila ya kufikiwa natija

    Kikao cha UN kuhusu Syria chamalizika bila ya kufikiwa natija

    Feb 08, 2018 23:39

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika jana mjini New York kujadili hali ya kibinadamu nchini Syria kimemalizika bila ya kufikia natija yoyote.

  • Onyo la Syria kuhusiana na uungaji mkono mkubwa unaofanywa na Israel kwa ugaidi

    Onyo la Syria kuhusiana na uungaji mkono mkubwa unaofanywa na Israel kwa ugaidi

    Feb 08, 2018 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kulalamikia mashambulio mapya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo moja lililoko kwenye viunga vya Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Iran: Syria itakombolewa karibuni hivi

    Iran: Syria itakombolewa karibuni hivi

    Feb 08, 2018 03:48

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, baada ya kusafishwa kabisa magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) nchini Iraq, karibuni hivi dunia itashuhudia Syria nayo ikikombolewa kikamilifu.

  • Jeshi la Syria lajibu mapigo, latungua makombora ya Israel

    Jeshi la Syria lajibu mapigo, latungua makombora ya Israel

    Feb 07, 2018 04:06

    Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa uvamizi mpya wa Israel, baada ya utawala huo wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi ya makombora viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS