Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia yaponda madai ya Marekani dhidi ya Syria

    Russia yaponda madai ya Marekani dhidi ya Syria

    Feb 03, 2018 23:13

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Syria imetengeneza na kutumia kizazi kipya cha silaha za kemikali na kusema madai hayo hayana msingi wowote.

  • Velayati: Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati

    Velayati: Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati

    Feb 01, 2018 04:27

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo nyeti zaidi duniani yaani Mashariki ya Kati.

  • Sochi, Geneva nyingine kwa Syria

    Sochi, Geneva nyingine kwa Syria

    Jan 31, 2018 10:08

    Mazungumzo ya kitaifa ya Wasyria-Wasyria yamemalizika katika mji wa Sochi nchini Russia pasina kuwepo matokeo ya wazi ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo.

  • Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Jan 28, 2018 11:41

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, vitendo vya Marekani zinaonesha kuwa Washington ingali inaunga mkono ugaidi na vitendo vya kuvuruga amani na utulivu pamoja na kutaka kuzigawa vipande vipande nchi za eneo hili ikiwemo Syria.

  • Jeshi la Syria lanasa mabomu ya kutegwa ardhini na mada za kemikali kutoka Israel

    Jeshi la Syria lanasa mabomu ya kutegwa ardhini na mada za kemikali kutoka Israel

    Jan 27, 2018 00:45

    Vikosi vya jeshi la Syria vimenasa idadi kubwa ya mabomu ya kutegwa ardhini, mada za kemikali na silaha zilizoundwa Israel zilizoachwa na magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh mashariki mwa mkoa wa Deir Zor unaopatikana mashariki mwa Syria.

  • Ndege ya kivita ya Uturuki yatunguliwa Afrin, Wakurdi wakaribisha kurudi jeshi la Syria

    Ndege ya kivita ya Uturuki yatunguliwa Afrin, Wakurdi wakaribisha kurudi jeshi la Syria

    Jan 25, 2018 10:34

    Mmoja wa makamanda wa ngazi ya juu wa kundi la wapiganaji wa Kikurdi katika eneo la Afrin, Syria amekaribisha kuingia jeshi la nchi hiyo katika eneo hilo na kusisitiza kuwa, serikali ya Damascus imefikia makubaliano kadhaa na viongozi wa kundi hilo.

  • Russia na Syria zakanusha madai ya Marekani kuhusu silaha za kemikali

    Russia na Syria zakanusha madai ya Marekani kuhusu silaha za kemikali

    Jan 24, 2018 23:27

    Russia na Syria zimekadhibisha madai yaliyotolewa na Marekani na Ufaransa kwamba serikali ya Damascus imetumia silaha za kemikali katika mashambulizi yake, zikisisitiza kuwa tuhuma hizo zinapania kutia vizingiti katika juhudi za kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani mgogoro unaoshuhudiwa katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Mshauri wa Assad: Mashambulizi ya Uturuki mjini Afrin yamejiri kwa msaada wa US

    Mshauri wa Assad: Mashambulizi ya Uturuki mjini Afrin yamejiri kwa msaada wa US

    Jan 22, 2018 04:22

    Mshauri wa Rais Bashar al-Assad wa Syria, amesema kuwa mashambulizi ya jeshi la Uturuki katika mji wa Afrin wenye wakazi wengi wa Kikurdi nchini humo, usingejiri bila ya msaada na uungaji mkono kamili wa Marekani.

  • Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi  wa nchi hiyo huko Syria

    Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi wa nchi hiyo huko Syria

    Jan 22, 2018 04:14

    Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliomiminika barabarani kupinga uvamizi wa jeshi la nchi hiyo katika mji wa Afrin, kaskazini mwa Syria.

  • Iran yalaani vikali mpango wa Marekani  kutuma wanajeshi Syria

    Iran yalaani vikali mpango wa Marekani kutuma wanajeshi Syria

    Jan 17, 2018 00:49

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani vikali hatua ya Marekani kutuma askari wake nchini Syria na kusmea: "Mpango wa Marekani ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni njama dhidi ya usalama na mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya Syria na eneo."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS