-
Rais Assad: Matatizo ya Waarabu yanasababishwa na fikra potovu
Jan 16, 2018 01:16Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, matatizo yanayoukumba ulimwengu wa Kiarabu yanatokana na fikra potovu na kwamba madamu tatizo hilo halijatatuliwa, basi bado migogoro na vita vitaendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Assad: Njama za adui za kuigawa Syria zimegonga mwamba
Jan 13, 2018 00:15Rais wa Syria ameeleza kuwa ushindi wa jeshi la nchi hiyo umepelekea kuandaliwa njia ya kurejesha amani nchini humo.
-
Nchi mbalimbali zapinga uingiliaji wa Marekani katika mambo ya ndani ya Iran
Jan 03, 2018 00:32Nchi kadhaa za eneo la Mashariki ya Kati zimetoa taarifa mbalimbali na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria
Dec 30, 2017 00:57Katika kuendeleza uungaji misaada ya Marekani kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji la Daesh, helikopta za kivita za nchi hiyo zimeonekana usiku wa kuamkia leo zikiruka kuelekea mji wa Deir ez-Zor nchini Syria na kuwabeba viongozi kadhaa za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) na kuwapeleka mji wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Marekani yatuma maelfu ya magaidi wa Daesh barani Ulaya
Dec 27, 2017 12:21Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa, Marekani na wapinzani nchini Syria wamewatuma katika nchi za Ulaya maelfu ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh kutokea Syria.
-
Russia: Marekani imewapa magaidi kambi zake za kijeshi Syria
Dec 27, 2017 04:11Russia imesema Marekani inatoa mafunzo ya kijeshi katika kambi zake zilizoko Syria kwa magaidi wakiwemo mabaki ya wanachama wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) waliofurushwa eneo la Raqqa.
-
Kikao cha nane cha Astana, mkondo sahihi wa kutatua mgogoro wa Syria
Dec 22, 2017 02:30Kikao cha nane cha mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Syria kilianza jana Alkhamisi mjini Astana, Kazakhstan na kinaendelea tena leo Ijumaa. Kikao hicho kinafanyika katika hali ambayo, kikao cha nane cha mazungumzo ya Geneva yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa kilimalizika bila ya matunda yoyote.
-
Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo
Dec 22, 2017 00:54Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ameuonya utawala wa Kizayuni na kuuhakikishia kuwa Damascus itajibu mashambulizi yote yanayofanywa na Israel katika ardhi ya Syria.
-
Waziri wa Sheria wa Algeria: Waalgeria 226 wamejiunga na Daesh
Dec 19, 2017 04:33Waziri wa Sheria wa Algeria ametangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 226 wameelekea katika nchi za Iraq na Syria kwa ajili ya kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Njama mpya ya Marekani ya kuiangusha serikali ya Syria katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa ISIS (Daesh)
Dec 18, 2017 04:30Je, Marekani itaachana na Syria? Katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS, hivi sasa Marekani inatekeleza njama chafu ya kuiangusha serikali halali ya Syria.