Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Ufaransa: Bashar al-Assad haendi popote, ataendelea kuongoza

    Ufaransa: Bashar al-Assad haendi popote, ataendelea kuongoza

    Dec 18, 2017 03:56

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema hali halisi ya Syria ni kwamba Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo ya Kiarabu ataendelea kubakia madarakani kwa kuwa wapinzani wake wameshindwa 'katika mapambano ya ardhini'.

  • Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria

    Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria

    Dec 17, 2017 11:04

    Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu taathira za kuwapatia silaha mpya magaidi waliopo Syria.

  • Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria

    Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria

    Dec 16, 2017 12:11

    Kituo cha Mapatano cha Russia nchini Syria kimetangaza kuwa, Marekani imeanzisha kundi jipya la waasi lililopewa jina la Jeshi Jipya la Syria katika kambi ya wakimbizi iliyoko mkoani Hasaka huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Silaha za Marekani na Israel zapatikana katika ngome za ISIS, Syria

    Silaha za Marekani na Israel zapatikana katika ngome za ISIS, Syria

    Dec 10, 2017 03:48

    Siku chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Russia kutangaza kuwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) limeangamizwa kikamilifu nchini Syria, shehena ya silaha zilizotengenezewa Marekani na Israel imepatikana na wanajeshi wa Syria katika mji wa Dayr al-Zawr, iliyokuwa ngome ya mwisho ya magaidi hao.

  • Larijani: Iran na Russia kuendeleza ushirikiano wa kupambana na ugaidi

    Larijani: Iran na Russia kuendeleza ushirikiano wa kupambana na ugaidi

    Dec 04, 2017 23:17

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazunguumzo ya Tehran na Moscow kuhusu kupambana na ugaidi na ushirikiano wa pamoja katika uwanja huo utaendelea.

  • Mufti Mkuu wa Russia ataka kupelekwa misaada ya kibinadamu Syria

    Mufti Mkuu wa Russia ataka kupelekwa misaada ya kibinadamu Syria

    Dec 03, 2017 23:08

    Mufti Mkuu wa Russia amezitolea wito nchi za Kiarabu zitume misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wananchi wa Syria.

  • Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko hai, anaishi kwa kujificha kama mapanya

    Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko hai, anaishi kwa kujificha kama mapanya

    Dec 02, 2017 04:56

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iraq amefichua kwamba, ripoti za kiintelijensia zinaonesha kwamba, kiongozi wa kundi la kigaidi na kiwahabi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi bado yuko hai na anajificha katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Dec 01, 2017 03:58

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.

  • Zarif: Iran iko Syria kwa

    Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus

    Dec 01, 2017 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.

  • Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua raia 800 Iraq na Syria

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua raia 800 Iraq na Syria

    Dec 01, 2017 01:07

    Muungano eti wa kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani umetoa ripoti ukikiri kwamba katika kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi 2017 umeua raia wasiopungua mia nane katika nchi za Iraq na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS