-
Lebanon na Syria katika mkondo wa kuimarisha uhusiano
Nov 25, 2017 02:38Saad Zakhia, balozi mpya wa Lebanon nchini Syria alionana na Rais Bashar al Assad siku ya Alkhamisi na kukabidhi hati zake za utambulisho.
-
Rais Rouhani: Natija ya kikao cha Sochi ni kuundwa Kongamano la Kitaifa Syria
Nov 23, 2017 00:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, natija kuu katika kikao cha Sochi ni kuundwa kongamano la kitaifa la mazungumzo baina ya Wasyria ili kwa njia hiyo, Wasyria kutoka kaumu, dini na madhehebu zote, wakiwemo wapinzani na waungaji mkono wa serikali wakujumuike pamoja kujadili mustakbali wa nchi yao.
-
Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi
Nov 21, 2017 04:38Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.
-
Hizbullah: Marekani imeisadia Daesh huko al Bukamal
Nov 21, 2017 00:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani imeilisaidia kundi la kigaidi la Daesh katika mapigano ya hivi majuzi katika mji wa al Bukamal nchini Syria hatua ambayo inakadhibisha madai ya Washington kwamba inapambana na ugaidi
-
Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimeazimia kulinda amani endelevu huko Syria
Nov 19, 2017 12:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran, Uturuki na Russia zikiwa ni nchi zinazosimamia mazungumzo ya Astana kwa ajili ya amani nchini Syria ziko tayari kuandaa mazingira ya kudumisha amani na usalama endelevu.
-
Kupigiwa kura ya turufu azimio dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la UN; pigo jengine kwa Marekani
Nov 17, 2017 23:28Sambamba na kuendelea kupata ushindi jeshi la Syria na waitifaki wake katika mapambano dhidi ya ugaidi, baadhi ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamefanya juu chini ili kuyatia doa mafanikio hayo lakini wamegonga mwamba.
-
Russia: Marekani ni dola vamizi, halikualikwa nchini Syria
Nov 17, 2017 00:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuwepo wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Syria ni uvamizi na ni kinyume cha sheria.
-
Assad akosoa uingiliaji wa baadhi ya nchi za Kiarabu katika masuala ya nchi nyingine
Nov 16, 2017 12:16Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa sera za baadhi ya nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Nchi hizo za kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine zimezidisha migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati na kuzichochea nchi nyingine.
-
Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika
Nov 16, 2017 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ametahadharisha kwamba, wanachama wa kundi hatari la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wanakusudia kuweka kambi na kujizatiti katika nchi za kaskazini mwa Afrika.
-
Syria yaitaka UN izuie mashambulio ya anga ya muungano unaoongozwa na Marekani
Nov 13, 2017 04:45Syria imeutaka Umoja wa Mataifa usimamishe mashambulio ya anga yanayofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani baada ya makumi ya raia kuuawa katika mashambulio tofauti yaliyofanywa na muungano huo katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.