-
Marekani yaua raia 16 kwa niaba ya ISIS mashariki mwa Syria
Nov 13, 2017 00:47Kwa akali raia 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani mashariki mwa Syria, siku chache baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) kutimuliwa katika eneo hilo.
-
Kusambaratishwa ISIS mashariki mwa Syria
Nov 09, 2017 23:04Hatua ya wanajeshi wa Syria na waitifaki wao ya kuingia katika mji wa mpakani wa al-Bukamal ina maana ya kusambaratishwa kikamilifu magaidi wa Daesh (ISIS) mashariki mwa nchi hiyo. Mafanikio hayo makubwa yaliyopatikana katika vita dhidi ya ugaidi yamekuja wiki moja baada ya kukombolewa mji wa kiistratijia wa Deir ez-Zor kutoka katika makucha ya magaidi wa ISIS wanaoungwa mkono na madola ya kigeni ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri
Nov 09, 2017 11:35Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametoa tahadhari juu ya hatari ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walioshindwa nchini Iraq na Syria kuingia Libya na kuchafua zaidi usalama wa nchi hiyo na majirani wake.
-
Syria: Kamwe hatutaruhusu kushambuliwa Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 11:43Mshauri wa Rais wa Syria amesisitiza kuwa, mahusiano ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hizbullah na Syria ni ya kiwango cha juu na kusema Damascus kamwe haitaruhusu harakati hiyo ya Kiislamu ya Hizbullah ishambuliwe.
-
Velayati: Uungaji mkono wa Iran kwa Syria na Iraq umeuokoa ulimwengu wa Kiislamu na hatari kubwa
Nov 08, 2017 04:26Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na muqawama katika nchi za Syria na Iraq umevunja njama za maadui wanaoutakia mabaya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Velayati: Lengo la Iran na Syria ni kulinda mhimili wa muqawama
Nov 06, 2017 23:15Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa lengo la Iran na Syria ni kulinda mhimili wa muqawama katika eneo la Mashariki ya Kati na kusimama kidete kukabiliana na Uzayuni na waungaji wake mkono.
-
Iran: Hujumu dhidi ya wakimbizi Syria, ishara ya kusambaratika ISIS Deir Ezzor
Nov 05, 2017 11:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la bomu dhidi ya mkusanyiko wa wakimbizi katika mji wa Deir Ezzor, mashariki mwa Syria, lililosababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Jeshi la Syria laukomboa mji wa Deir ez-Zor, magaidi wa ISIS watimuliwa
Nov 03, 2017 11:05Jeshi la Syria limefanikiwa kuchukua udhibiti kamili wa mji wa Deir ez-Zor mashariki mwa nchi na kuwatimua kabisa magaidi wakufurishaji wa ISIS waliouteka mji huo mwaka 2014.
-
Iran itashiriki vilivyo katika kuijenga upya Syria
Oct 30, 2017 00:30Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itashiriki vilivyo katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kujenga upya sekta mbali za uzalishaji, utoaji huduma na ustawi zilizoharibiwa vibaya na magenge ya kigaidi yaliyoivamia nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mgogoro wa Syria, natija ya ushirikiano wa Marekani na baadhi ya nchi za eneo
Oct 30, 2017 00:28Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Qatar amefichua kwamba, nchi zinazounga mkono ugaidi na makundi yanayobeba silaha nchini Syria, zimekuwa zikifanya hivyo kupitia Saudia na Uturuki na pia kupitia ushirikiano wa Marekani na pande nyingine.