-
Marekani iliratibu misaada kwa magaidi Syria, afichua waziri mkuu wa zamani wa Qatar
Oct 28, 2017 23:35Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar Hamad bin Jassim amefichua namna Marekani ilivyokuwa ikishirikiana na Saudi Arabia, Uturuki na Qatar yenyewe katika kiwafikishia misaada magaidi kwa lengo la kuiondoa madarakani serikali ya Syria tokea mapigano yaanze nchini humo mwaka 2011.
-
Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria
Oct 27, 2017 01:17Marekani na washirika wake katika kile kinachodaiwa ni muungano wa kupambana na Daesh wamekiri kwamba, wameua raia wengine wasiopungua 51 wasio na hatia katika nchi za Syria na Iraq, suala linaloopandisha juu idadi ya raia waliouawa na muungano huo na kufikia watu 786.
-
Uingereza yataka raia wake waliojiunga na ISIS Syria wauawe
Oct 24, 2017 01:01Uingereza inataka raia wake waliojiunga na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini Syria wauawe kabla ya kupata fursa ya kurejea nyumbani.
-
Israel yaendelea kuwasaida magaidi wanaopumua pumzi za mwisho Syria, yashambulia jeshi la serikali
Oct 20, 2017 01:10Katika kuendelea uungaji mkono wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji yanayotaka kuiangusha serikali halali ya Syria, kwa mara nyingine jeshi la utawala haramu wa Kizayuni limeshambulia maeneo ya jeshi la Syria katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo.
-
Onyo la Syria kwa utawala haramu wa Israel
Oct 17, 2017 23:19Jeshi la Syria limeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kukariri uvamizi wake dhidi ya ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa zamani wa Ufaransa aitwa mahakamani kwa kushirikiana na magaidi Syria
Oct 15, 2017 23:03Habari kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo ya Ulaya ameitwa mahakamani kujibu tuhuma za kushirikiana na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na Israel yagunduliwa katika maficho ya Daesh Syria
Oct 15, 2017 10:48Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yamegunduliwa katika maficho ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mji uliokombolewa wa al Mayadin mkoani Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Idadi ya waliouawa katika shambulio la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria yafikia 65
Oct 13, 2017 04:05Idadi ya waliouawa katika shambulio la kigaidi lililofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika mji wa Al Hasakah nchini Syria imefikia watu 65.
-
Kamanda wa IRGC: Marekani inaunga mkono kilojistiki magaidi wa ISIS Iraq na Syria
Oct 12, 2017 02:10Kamanda wa ngazi za juu nchini Iran amesema Marekani inawapatia silaha na misaada ya chakula magaidi wa kundi la ISIS au Daesh nchini Syria na Iraq wakati magaidi hao wanakaribia kuangamizwa.
-
Shambulizi la anga la Marekani laua raia 45 nchini Syria
Oct 03, 2017 04:44Kwa akali raia 45 wameuawa katika shambulizi la anga la hivi punde lililotekelezwa na ndege za kivita za Marekani nchini Syria.