-
Russia yaua zaidi ya magaidi 2300 katika kipindi cha siku 10 nchini Syria
Oct 01, 2017 00:23Wizara ya Ulinzi ya Russia imeashiria kushindwa vibaya magaidi wa Daesh (ISIS) na Jabhatunnusra nchini Syria na kusema kuwa, ndege za kivita za Russia zimeua magaidi 2,359 na kujeruhi wengine 2,700 katika kipindi cha siku kumi zilizopita.
-
Marekani yakiri kuua makumi ya raia wa Syria na Iraq mwezi jana
Sep 30, 2017 04:44Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuwa mashambulizi yake ya anga yameua raia wasiopungua 50 katika nchi za Iraq na Syria mwezi uliopita pekee wa Agosti.
-
Walid Al-Muallem: Kuwepo kijeshi Marekani nchini Syria ni kinyume cha sheria
Sep 27, 2017 00:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ametoa jibu na radiamali kwa hatua za Marekani za kutaka kupanua wigo wa kuwepo kwake kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ukiwemo mji wa Raqqa na kutamka bayana kwamba hatua hiyo ya Washington ni kinyume cha sheria.
-
Algeria yataka kurejea Syria katika Jumuiya ya Kiarabu
Sep 24, 2017 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Syria ni wa kihistoria na kusisitiza kuwa Algeria inataka Syria irejee katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Zarif: Iran itaendelea kuwa pamoja na Wasyria kujenga upya nchi yao
Sep 22, 2017 00:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema kuwa Tehran inaunga mkono uzingatiaji wa kimataifa juu ya umuhimu wa kuendelea kutolewa misaada ya kibinaadamu na ukarabati wa Syria na kwamba katika hilo Iran itaendelea kushirikiana na Wasyria katika kuijenga upya nchi yao.
-
Ripoti yafichua: Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni moja kuwanunulia silaha magaidi nchini Syria
Sep 13, 2017 23:25Kituo kimoja cha utafiti katika eneo la Balkan kimefichua kwamba Marekani imechukua hatua kadhaa kwa ajili ya kuwazatiti kwa silaha magaidi nchini Syria.
-
Djibouti yakosoa namna ya ufuatiliaji kadhia ya Syria katika nchi za Kiarabu
Sep 13, 2017 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti amesema kuchunguzwa kadhia ya Syria katika nchi za Ulaya ni ishara ya udhaifu katika nchi za Kiarabu.
-
Aslimia 85 ya ardhi ya Syria imekombolewa toka mikononi mwa magaidi
Sep 12, 2017 22:02Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa asilimia 85 ya ardhi yake iliyokuwa ikidhibitiwa na magenge ya kigaidi.
-
Hizbullah: Saudia imekiri yenyewe kwamba imeshindwa nchini Syria
Sep 11, 2017 03:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa, hatua ya Wizara ya Mambo ya Nje ya SaudiArabia ya kukubali kuanzishwa maeneo ya kupunguza mivutano nchini Syria, ina maana ya kukiri wazi Riyadh juu ya kushindwa kwake nchini Syria.
-
Syria: Tunaifahamu Marekani kama adui yetu na muungaji mkono wa magaidi
Sep 11, 2017 03:48Faisal Mekdad, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayochafua usalama wa nchi hiyo yanaungwa mkono kikamilifu na kusaidiwa na Marekani na kwamba Washington ni adui mkubwa wa Syria.