-
Maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamekamilika
Feb 26, 2022 02:39Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
-
Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa
Jun 06, 2018 14:20Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar sambamba na kuelezea mwenendo wa vizuizi vinavyofanywa na Saudia kwa ajili ya kuwazuia raia wa nchi hiyo kuweza kushiriki ibada ya hija, imeitaka Riyadh kuacha kuyaingiza masuala ya kidini katika mgogoro wa kisiasa wa pande mbili.
-
Iran ni muungaji mkono wa umoja wa umma wa Kiislamu
Mar 17, 2017 03:59Mkuu wa Taasisi ya Wakfu na Mambo ya Kheri ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa kuu za Tehran ni kupigania umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu.