Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Taliban

  • Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Nov 12, 2018 05:24

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya kundi la Taleban yenye makao yake mjini Qatar amesema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi za Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, ni mradi wa pamoja wa Washington na serikali ya Kabul.

  • Serikali ya Afghanistan yapinga usitishaji vita wa upande mmoja na kundi la Taleban Siku ya Iddul Adh'ha

    Serikali ya Afghanistan yapinga usitishaji vita wa upande mmoja na kundi la Taleban Siku ya Iddul Adh'ha

    Aug 19, 2018 09:50

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Afghanistan ametupilia mbali mpango wa usitishaji vita wa upande mmoja na kundi la Taleban katika siku ya Iddul-Adh'ha.

  • Taleban: Helikopta za Marekani zinawasaidia wanachama wa Daesh dhidi yetu

    Taleban: Helikopta za Marekani zinawasaidia wanachama wa Daesh dhidi yetu

    Jun 23, 2018 02:23

    Kundi la kigaidi la Taleban nchini Afghanistan limesema kwamba helikopta za kijeshi za Marekani zimekuwa zikiwasaidia wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika uwanja wa vita kati ya wanachama wa makundi hayo sambamba na kushambulia ngome za Taleban katika mkoa wa Nangarhar, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kundi la Taliban laua askari 30 wa Afghanistan katika mkoa wa Badghis

    Kundi la Taliban laua askari 30 wa Afghanistan katika mkoa wa Badghis

    Jun 20, 2018 07:38

    Licha ya serikali ya Afghanistan kutangaza kurefusha muda wa usitishaji vita wa upande mmoja kwa siku 10 zaidi, kundi la wapiganaji wa Taliban ambalo limekataa pendekezo hilo limetekeleza mashambulizi makubwa mapema leo lilioua makumi ya askari wa nchi hiyo katika mkoa wa Badghis.

  • Magaidi wa Taliban wahujumu hoteli ya InterContinental Kabul na kuua watu sita

    Magaidi wa Taliban wahujumu hoteli ya InterContinental Kabul na kuua watu sita

    Jan 21, 2018 14:06

    Kundi la kigaidi la Taliban limedai kuhusika na hujuma dhidi ya hoteli ya kifahari ya InterContinental katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul ambapo raia sita wameuawa.

  • Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani

    Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani

    Nov 17, 2017 02:43

    Abdullah Abdullah, Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Afghanistan, kwa mara nyengine tena ametoa wito wa kulitaka kundi la Taliban lijiunge na mchakato wa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.

  • Taliban kuigeuza ardhi ya Afghanistan 'makaburi' ya askari wa Marekani

    Taliban kuigeuza ardhi ya Afghanistan 'makaburi' ya askari wa Marekani

    Aug 22, 2017 15:29

    Kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan limetangaza kuwa litaigeuza nchi hiyo "eneo la makaburi" ya askari wa Marekani baada ya nchi hiyo kutangaza kuwa itaendelea kuikalia kwa mabavu nchi hiyo ya bara la Asia.

  • Polisi 130 wa Afghanistan wajisalimisha kwa magaidi wa Taleban

    Polisi 130 wa Afghanistan wajisalimisha kwa magaidi wa Taleban

    Jul 25, 2017 08:20

    Kwa akali polisi 130 wa serikali ya Afghanistan wamejisalimisha kwa wanachama wa kundi la kigaidi na Kiwahabi la Taleban kufuatia kudhibitiwa mji wa Kohestan mkoa wa Faryab, kaskazini mwa Afghanistan.

  • Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani

    Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani

    Jun 12, 2017 07:51

    Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Qatar amesema kuwa, nchi hiyo ililialika kundi la kigaidi la Taliban mjini Doha kutokana na takwa la Marekani ambayo leo, ikiwa pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu, inaituhuma Qatar kuwa inaunga mkono makundi yenye misimamo mikali.

  • Taliban waua makumi ya askari wa Afghanistan

    Taliban waua makumi ya askari wa Afghanistan

    Apr 22, 2017 03:43

    Zaidi ya askari 50 wa Afghanistan wameuawa katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa kundi la kitakfiri la Taliban dhidi ya kambi muhimu ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS