Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mamilioni ya Watanzania wanasumbuliwa na matatizo ya akili

    Mamilioni ya Watanzania wanasumbuliwa na matatizo ya akili

    Oct 10, 2021 04:26

    Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hayo yamebainika wakati huu ambapo nchi hiyo ya Afrika Mashariki imejiunga na nchi zingine duniani hii leo kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili.

  • Rais Samia awaomba Watanzania ushirikiano katika kutekeleza ahadi zake UN

    Rais Samia awaomba Watanzania ushirikiano katika kutekeleza ahadi zake UN

    Sep 25, 2021 11:48

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomba ushirikiano wa Watanzania ili kuyatekeleza kwa vitendo yale aliyoahidi katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York huko Marekani.

  • Mahakama ya Tanzania yamfutia mashtaka ya uchochezi Tundu Lissu na wenzake watatu

    Mahakama ya Tanzania yamfutia mashtaka ya uchochezi Tundu Lissu na wenzake watatu

    Sep 22, 2021 10:07

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam, Tanzania imefuta mashtaka dhidi ya makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu na wenzake watatu, baada ya upande wa mashtaka wa serikali ya nchi hiyo kutangaza leo kuwa hauna nia tena ya kuendelea na mashtaka yote matano uliyokuwa umefungua dhidi ya washtakiwa hao.

  • Rais wa Tanzania azindua kampeni ya uelimishaji kuhusu sensa ya mwaka 2022

    Rais wa Tanzania azindua kampeni ya uelimishaji kuhusu sensa ya mwaka 2022

    Sep 14, 2021 07:56

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka zinazoshughulikia zoezi la sensa lililopangwa kufanyika mwakani kutumia gharama ndogo na kufanya zoezi hilo kwa ufanisi kwani serikali haina pesa ya kubeba gharama kubwa.

  • Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada

    Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada

    Sep 11, 2021 09:00

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday Schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.

  • Baada ya miaka kadhaa, mara hii Rais wa Tanzania atashiriki mkutano wa Baraza Kuu la UN

    Baada ya miaka kadhaa, mara hii Rais wa Tanzania atashiriki mkutano wa Baraza Kuu la UN

    Sep 04, 2021 03:30

    Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambao katika ngazi ya viongozi wakuu, unatarajiwa kuanza tarehe 21 mpaka 27 za mwezi huu wa Septemba 2021.

  • Polisi ya Tanzania: Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga, hakuwa na mgodi wala fedha

    Polisi ya Tanzania: Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga, hakuwa na mgodi wala fedha

    Sep 02, 2021 08:34

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema, Hamza Hassan Mohamed, aliyewaua askari polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha kuuawa, alikuwa ni gaidi aliyejitoa kufia dini.

  • Corona yapunguza muda wa vikao vya Bunge Tanzania

    Corona yapunguza muda wa vikao vya Bunge Tanzania

    Aug 31, 2021 09:01

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepunguza muda wa kuanza kwa vikao vyake ambapo sasa litaanza vikao vyake kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 1:00 jioni, huku kukiwa hakuna kipindi cha maswali na majibu asubuhi ikiwa ni jitihada za kujikinga na ugonjwa wa Uviko-19.

  • 'Gaidi',  askari 3 na mlinzi wa kampuni binafsi wauawa katika makabiliano ya risasi Tanzania

    'Gaidi', askari 3 na mlinzi wa kampuni binafsi wauawa katika makabiliano ya risasi Tanzania

    Aug 25, 2021 08:28

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro meithibitisha habari za kuuawa kwa gaidi,askari watatu na mlinzi wa kampuni binafsi kwenye makabiliano ya risasi yaliyotokea katika eneo la Daraja la Salender jirani na Ubalozi wa Ufaransa, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo watu sita wamejeruhiwa na imeelezwa kuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili.

  • Rais wa Tanzania: Uchaguzi wa 2020 ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana

    Rais wa Tanzania: Uchaguzi wa 2020 ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana

    Aug 21, 2021 09:31

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020 akisema "ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS