Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • CCM yalisimamisha gazeti lake la ‘Uhuru’ kwa 'kumlisha maneno' rais Samia kuhusu uchaguzi ujao wa rais

    CCM yalisimamisha gazeti lake la ‘Uhuru’ kwa 'kumlisha maneno' rais Samia kuhusu uchaguzi ujao wa rais

    Aug 11, 2021 08:13

    Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kitachukua hatua kali dhidi ya watumishi wa gazeti la Uhuru kwa kuandika habari ya upotoshaji juu ya Rais Samia Suluhu Hassan.

  • Raisi: Kuna fursa nzuri za kuimarisha uhusiano wa Iran na Tanzania, Zanzibar

    Raisi: Kuna fursa nzuri za kuimarisha uhusiano wa Iran na Tanzania, Zanzibar

    Aug 06, 2021 10:28

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna fursa nyingi na nzuri za kuboresha na kustawisha kiwango cha uhusiano baina ya Iran kwa upande mmoja na Tanzania na Zanzibar kwa upande mwingine.

  • Wafuasi wa chama cha upinzani Tanzania Chadema wakamatwa wakiimba

    Wafuasi wa chama cha upinzani Tanzania Chadema wakamatwa wakiimba "Mbowe sio gaidi"

    Aug 05, 2021 08:03

    Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Tanzania waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya korti wamekamatwa na wanashikiliwa na Jeshi la Polisi.

  • Rais Samia Suluhu apewa chanjo ya corona, awatoa hofu Watanzania kuhusu chanjo ya Covid-19

    Rais Samia Suluhu apewa chanjo ya corona, awatoa hofu Watanzania kuhusu chanjo ya Covid-19

    Jul 28, 2021 09:20

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania leo ameongoza zoezi la uzinduzi wa kutoa chanjo ya corona nchini humo akisema asingekuwa tayari kuhatarisha maisha yake kwa kuchanjwa chanjo hiyo kama isingekuwa salama.

  • Corona Tanzania; Marufuku kuingia kwenye usafiri wa umma bila barakoa

    Corona Tanzania; Marufuku kuingia kwenye usafiri wa umma bila barakoa

    Jul 26, 2021 07:58

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona ambapo amepiga marufuku wananchi kuingia kwenye vyombo vya usafiri na sehemu za kutoa huduma bila kuvaa barakoa.

  • Wanasheria Tanzania wataka Mbowe ama aachiwe au afikishwe mbele vyombo vya sheria

    Wanasheria Tanzania wataka Mbowe ama aachiwe au afikishwe mbele vyombo vya sheria

    Jul 25, 2021 06:59

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeingilia kati sakata la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kikitaka kiongozi huyo wa upinzani Tanzania ama aachiliwe huru au afikishwe kwenye mamlaka za kisheria.

  • Marais wa Tanzania na Kenya wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran

    Marais wa Tanzania na Kenya wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran

    Jul 24, 2021 03:38

    Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kenya wamemtumia ujumbe Ayatullah Ibrahim Raesi wakimpongeza kwa kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa mwezi uliopita wa Rais hapa nchini.

  • Watu 29 wameaga dunia kwa Corona nchini Tanzania; maambukizo yaongezeka

    Watu 29 wameaga dunia kwa Corona nchini Tanzania; maambukizo yaongezeka

    Jul 24, 2021 00:05

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki dunia kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 na kwamba siku ya Alkhamisi pekee kulikuwa na wagonjwa wapya 176.

  • Marekani yajitosa sakata la Mbowe, Tanzania yajibu

    Marekani yajitosa sakata la Mbowe, Tanzania yajibu

    Jul 23, 2021 08:07

    Kamati Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi la Marekani imeiomba Serikali ya Tanzania imuache huru Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi.

  • Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania akabiliwa na tuhuma za mauaji ya viongozi wa serikali

    Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania akabiliwa na tuhuma za mauaji ya viongozi wa serikali

    Jul 22, 2021 11:57

    Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS