Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mbowe na viongozi wengine 11 wa Chadema wakamatwa na jeshi la Polisi Tanzania

    Mbowe na viongozi wengine 11 wa Chadema wakamatwa na jeshi la Polisi Tanzania

    Jul 21, 2021 03:23

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10 wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza.

  • Waandishi Tanzania watakiwa kutumia vizuri kalamu zao kutatua migogoro + Sauti

    Waandishi Tanzania watakiwa kutumia vizuri kalamu zao kutatua migogoro + Sauti

    Jul 15, 2021 09:07

    Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kutumia vizuri kalamu zao kwa ajili ya kuimarisha amani na kutatua migogoro katika jamii ikiwemo ya wakati wa uchaguzi. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

  • Majaliwa azichambua siku 100 za Rais Samia, amtaja kuwa ni

    Majaliwa azichambua siku 100 za Rais Samia, amtaja kuwa ni "kiongozi wa kihistoria"

    Jun 27, 2021 10:37

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amechambua utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 zilizopita akibainisha kuwa ni "kiongozi wa kihistoria" kutokana na mambo mbalimbali anayoyatekeleza.

  • Rais Samia atahadharisha kuhusu wimbi la tatu la corona, asema limeingia Tanzania

    Rais Samia atahadharisha kuhusu wimbi la tatu la corona, asema limeingia Tanzania

    Jun 25, 2021 09:57

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amethibitisha kwamba kuna viashiria vya wimbi la tatu la virusi vya Corona nchini humo.

  • Viongozi wa Uamsho Zanzibar wafutiwa kesi, waanza kuondoka gerezani

    Viongozi wa Uamsho Zanzibar wafutiwa kesi, waanza kuondoka gerezani

    Jun 16, 2021 07:56

    Viongozi 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wakio gozwa na Sheikh Farid Hadi Ahmed na Mselem Ali Mselem waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya ugaidi, wameachiwa huru.

  • Mwinyi: Zanzibar ipo tayari kupokea chanjo ya COVID-19

    Mwinyi: Zanzibar ipo tayari kupokea chanjo ya COVID-19

    Jun 04, 2021 09:40

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo ya COVID -19 na misaada mbalimbali ya kitabibu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).

  • Rais Samia awatahadharisha Watanzania dhidi ya Corona

    Rais Samia awatahadharisha Watanzania dhidi ya Corona

    Jun 01, 2021 23:55

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.

  • Samia: Nitaongeza jitihada za kufikia usawa wa kijinsia wa 50/50 katika uongozi Tanzania

    Samia: Nitaongeza jitihada za kufikia usawa wa kijinsia wa 50/50 katika uongozi Tanzania

    May 28, 2021 08:34

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema japo Tanzania bado haijafikia kiwango cha usawa wa kijinsia cha 50/50 katika uongozi, lakini katika kipindi chake atahakikisha anaongeza jitihada za kufikia usawa huo.

  • UN yaiomba Tanzania iwape hifadhi raia wa Msumbiji wa Cabo Delgado wanaokimbia mapigano

    UN yaiomba Tanzania iwape hifadhi raia wa Msumbiji wa Cabo Delgado wanaokimbia mapigano

    May 19, 2021 01:58

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UBHCR limesema lina wasiwasi mkubwa na taarifa zinazoendelea za watu wanaokimbia jimboni Cabo Delgado nchini Msumbiji kurudishwa kwa nguvu baada ya kuvuka mpaka kuelekea nchi jirani ya Tanzania.

  • BAKWATA na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zaungana kimsimamo kuhusu Mashekhe wanaosota magerezani

    BAKWATA na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zaungana kimsimamo kuhusu Mashekhe wanaosota magerezani

    May 15, 2021 09:43

    Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda, ameungana na Baraza Kuu la Waislamu nchini humo BAKWATA kutaka kesi zinazowakabili mashekhe ziendeshwe haraka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS