Waandishi Tanzania watakiwa kutumia vizuri kalamu zao kutatua migogoro + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i72392-waandishi_tanzania_watakiwa_kutumia_vizuri_kalamu_zao_kutatua_migogoro_sauti
Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kutumia vizuri kalamu zao kwa ajili ya kuimarisha amani na kutatua migogoro katika jamii ikiwemo ya wakati wa uchaguzi. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Jul 15, 2021 13:37 UTC