-
Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano
Nov 05, 2020 08:16Rais John Pombe Magufuli ameapishwa leo Alkhamisi kuhudumu muhula wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Makada 20 wa CHADEMA kizimbani kwa kuchochea maandamano Tanzania
Nov 03, 2020 04:01Jeshi la Polisi mkoani Singida katikati mwa Tanzania limewafikisha mahakamani viongozi na wafuasi 20 wa chama cha upinzani cha CHADEMA kwa tuhuma za kukusanyika na kufanya kikao kinyume cha sheria, kwa lengo la kuhamasisha wananchi kufanya vurugu.
-
Hussein Mwinyi aapishwa kuwa rais wa Zanzibar, viongozi wa upinzani Tanzania Bara wakamatwa na kuwekwa kizuizini
Nov 02, 2020 11:37Dr. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar katika hafla kubwa iliyofanyika visiwani Zanzibar leo.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aendelea kupongezwa kimataifa baada ya ushindi katika uchaguzi
Oct 31, 2020 23:57Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania anaendelea kupongezwa kimataifa kutokana na ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
-
Chadema na ACT Wazalendo vyapinga matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania, Waangalizi wasema ulifuata taratibu
Oct 31, 2020 09:43Vyama vya upinzani nchini Tanzania vya CHADEMA na ACT Wazalendo vimesema kuwa havitambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
-
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania
Oct 29, 2020 19:25Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr. Hussein Mwinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 96,103 sawa na asilimia 19.87.
-
Uchaguzi Tanzania; Upinzani wapoteza viti vingi vya ubunge na udiwani
Oct 29, 2020 04:51Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Tanzania yanaonyesha kuwepo mpambano mkali kati ya chama tawala CCM na chama kikuu cha upinzani Chadema; ambapo upinzani umeonekana kupoteza viti vingi.
-
Watanzania washiriki kwa wingi katika upigaji kura leo
Oct 28, 2020 08:57Mamilioni ya Watanzania, leo Jumatano, Oktoba 28, 2020 wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge wa Bunge la Muungano, madiwani na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.
-
Watanzania wanapiga kura katika uchaguzi mkuu
Oct 28, 2020 01:17Mamilioni ya raia wa Tanzania leo wanaelekea katika masanduku ya kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani.
-
Mwito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania
Oct 27, 2020 09:24Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres ametaka mchakato mzima wa uchaguzi nchini Tanzania kuwa huru na haki.